Mnyika: Wajumbe watakaopiga kura kwenye Mkutano Mkuu ni wale waliochaguliwa kipindi hiki cha Uchaguzi, wa 2019 siyo halali

Mnyika: Wajumbe watakaopiga kura kwenye Mkutano Mkuu ni wale waliochaguliwa kipindi hiki cha Uchaguzi, wa 2019 siyo halali

Tusubiri uchaguzi uishe halafu tuone Mbowe ataingia kwa gia gani ambapo WANACHADEMA watakuwa wanamsikiliza.

Ishu siyo kwamba watu wanamtaka Lisu kisa kumkomoa Mbowe, la hasha. Mbowe kachuja tu automatically! Hata akigombea mwanachama tofauti na Lisu bado atakubalika tofauti na Mbowe.

Kwani Mbowe hajifanyii self assessment?

Mbowe kachuja Kama viatu vya mchina mvua ikikunyeshea navyo vinayeyuka na kuchanika biashara inakuwa ze end
 
Kwaiyo wajumbe tulio kwisha pewa gawio nusu tunaruhusiwa kudai kilicho baki hata kama sio halali
 
Back
Top Bottom