Mnyika: Waziri Mkuu aingilie kati Msajili atoe ruzuku yetu ya Milioni 500

MamaSamia2025

JF-Expert Member
Joined
Mar 29, 2012
Posts
21,387
Reaction score
44,030
CHADEMA mngemsikiliza Yericko Nyerere kuhusu ruzuku msingefikia hapa mlipofikia. Yericko alionya kuwa ni ngumu sana kuendesha chama bila ruzuku. Chama hakiendeshwi kwa michango kwa nyakati tulizopo. Leo bila aibu mnajitokeza na kutaka ruzuku kutoka serikali msiyoitambua.

Hii iwe fundisho kwa viongozi wenu waliokiweka chama mikononi mwa wanaharakati uchwara. Ninaamini CCM kama baba wa vyama vyote kupitia serikali yake watawasaidia kupata ruzuku zenu kwa jinsi mnavyostahili. Ila muwe na adabu. Acheni matusi.
==========
Ni pesa ambazo Chadema inazo na zipo kwa msajili wa vyama vya siasa za kutoka mwezi Juni mwaka 2025 mpaka mwezi Oktoba ambayo ni takribani shilingi milioni 500 ziko kwenye ofisi ya msajili hata hizo ambazo ni halali kabisa ya Chadema pesa za wananchi msajili ameendelea kuzishikilia mpaka ninavyozungumza na nyinyi leo kinyume cha sheria kabisa..."

Waziri Mkuu na Waziri wa Fedha kueleza ni kwa nini fedha hizo hazijaingizwa kwenye akaunti ya CHADEMA na ni lini zitaingizwa.

Umsikilize mwendawazimu ambaye ana chuki sababu maslahi yao yalizibwa kwa Mbowe kutolewa kwenye kiti kwa uchaguzi huru na wa wazi ?

Umsikilize mtu aliyesema CHADEMA imekufa , ambaye alisema wazi akipata nafasi atawaua watu wa CHADEMA?

Nani kakwambia chama kinaendeshwa kwa ruzuku pekeyake.?

Vyama vingekua vinaendeshwa kwa ruzuku pekeyake basi akina ANC wasingekuwepo.

Nyie endeleeni kumtumia Yericko huko CCM mkimchoka mtupeni kama toilet paper .

Kwa sasa chama kimerudi kwa wanachama na ndio maana kimegeuka tishio kipindi kile ilikua akitafutwa Mbowe na watu kadhaa wakikaa mezani basi habari inakwisha sasa CCM mnaona wapo watu ambao wanasikiliza wananchi hivyo mnakosa pa kupita

Miezi 10 mlikifungia chama ila bado kiliweza kushawishi watu wakapuuza ujinga mliouita uchaguzi mkuu.

Pia usisahau ruzuku iko kisheria sio utashi wa huyo msajiliccm na sio pesa za CCM hizo.

View: https://youtu.be/1yIKBg59uN0?is=fJGIFM6LikRiMYXK
 
Hizo pesa sio hisani ni haki ya cdm na wala sio za ccm. Zipo kisheria. Wajinga wa aina yako ndio mtawapata. Cdm wanatakiwa kuendelea kuwatukana hao majizi hadi wajua pesa za umma sio Mali yao.
 
CHADEMA mngemsikiliza Yericko Nyerere kuhusu ruzuku msingefikia hapa mlipofikia. Yericko alionya kuwa ni ngumu sana kuendesha chama bila ruzuku. Chama hakiendeshwi kwa michango kwa nyakati tulizopo. Leo bila aibu mnajitokeza na kutaka ruzuku kutoka serikali msiyoitambua.

Hii iwe fundisho kwa viongozi wenu waliokiweka chama mikononi mwa wanaharakati uchwara. Ninaamini CCM kama baba wa vyama vyote kupitia serikali yake watawasaidia kupata ruzuku zenu kwa jinsi mnavyostahili. Ila muwe na adabu. Acheni matusi.
==========
Ni pesa ambazo Chadema inazo na zipo kwa msajili wa vyama vya siasa za kutoka mwezi Juni mwaka 2025 mpaka mwezi Oktoba ambayo ni takribani shilingi milioni 500 ziko kwenye ofisi ya msajili hata hizo ambazo ni halali kabisa ya Chadema pesa za wananchi msajili ameendelea kuzishikilia mpaka ninavyozungumza na nyinyi leo kinyume cha sheria kabisa..."

Waziri Mkuu na Waziri wa Fedha kueleza ni kwa nini fedha hizo hazijaingizwa kwenye akaunti ya CHADEMA na ni lini zitaingizwa.

TANU iliendeshwa kwa michango ya Watanganyika mpaka tulipojitawala na waliochangia hawakukamatwa na kuuawa, wacha wazungu waitwe wazungu.
 
Kwanini waziri mkuu aingilie, waende mahakamani. Pamoja na mahakama kupokea maagizo lakini kuna mambo hawawezi kuyakwepa.
 
CHADEMA mngemsikiliza Yericko Nyerere kuhusu ruzuku msingefikia hapa mlipofikia. Yericko alionya kuwa ni ngumu sana kuendesha chama bila ruzuku. Chama hakiendeshwi kwa michango kwa nyakati tulizopo. Leo bila aibu mnajitokeza na kutaka ruzuku kutoka serikali msiyoitambua.

Hii iwe fundisho kwa viongozi wenu waliokiweka chama mikononi mwa wanaharakati uchwara. Ninaamini CCM kama baba wa vyama vyote kupitia serikali yake watawasaidia kupata ruzuku zenu kwa jinsi mnavyostahili. Ila muwe na adabu. Acheni matusi.
==========
Ni pesa ambazo Chadema inazo na zipo kwa msajili wa vyama vya siasa za kutoka mwezi Juni mwaka 2025 mpaka mwezi Oktoba ambayo ni takribani shilingi milioni 500 ziko kwenye ofisi ya msajili hata hizo ambazo ni halali kabisa ya Chadema pesa za wananchi msajili ameendelea kuzishikilia mpaka ninavyozungumza na nyinyi leo kinyume cha sheria kabisa..."

Waziri Mkuu na Waziri wa Fedha kueleza ni kwa nini fedha hizo hazijaingizwa kwenye akaunti ya CHADEMA na ni lini zitaingizwa.

Endeleeni kutoitoa ipo siku mtabembeleza kuzitoa hata mara tano ya iliyopaswa!
 
Dah, siasa si mchezo.
 
Utopoli
 
Umsikilize mwendawazimu ambaye ana chuki sababu maslahi yao yalizibwa kwa Mbowe kutolewa kwenye kiti kwa uchaguzi huru na wa wazi ?

Umsikilize mtu aliyesema CHADEMA imekufa , ambaye alisema wazi akipata nafasi atawaua watu wa CHADEMA?

Nani kakwambia chama kinaendeshwa kwa ruzuku pekeyake.?

Vyama vingekua vinaendeshwa kwa ruzuku pekeyake basi akina ANC wasingekuwepo.

Nyie endeleeni kumtumia Yericko huko CCM mkimchoka mtupeni kama toilet paper .

Kwa sasa chama kimerudi kwa wanachama na ndio maana kimegeuka tishio kipindi kile ilikua akitafutwa Mbowe na watu kadhaa wakikaa mezani basi habari inakwisha sasa CCM mnaona wapo watu ambao wanasikiliza wananchi hivyo mnakosa pa kupita

Miezi 10 mlikifungia chama ila bado kiliweza kushawishi watu wakapuuza ujinga mliouita uchaguzi mkuu.

Pia usisahau ruzuku iko kisheria sio utashi wa huyo msajiliccm na sio pesa za CCM hizo.

View: https://youtu.be/1yIKBg59uN0?is=fJGIFM6LikRiMYXK

mwandishi mwenyewe zuzu huyu anamhoji huyo
 
Back
Top Bottom