Mafyangula
JF-Expert Member
- Jan 16, 2025
- 557
- 1,039
Usaliti unaombatana na uongo katika mambo yanayohusu uhai na maisha ya watu ni uuaji.
Nyamatari (William) Tengecha hajawahi kuwa Mkurugenzi wa Ulinzi na Usalama Chadema aliteuliwa kama Mtaalam wa Hamasa.
Amerusha uchafu wa uongo ambayo ni vyema ukapuuzwa na wapenda ukweli na haki. Nasikitika tu kwamba tulimwamini mtu ambaye bila aibu amesaliti mapambano ya haki. Ni msaliti mwingine anayeingia katika orodha ya kina Yuda Iskarioti. Tusonge mbele; haki, ukweli na uadilifu vitashinda dhulma, udhalimu na uongo.