Mnyonge mnyongeni, haki yake mpeni. Rais Samia anastahili pongezi kwa aliyoyafanya

Nitakujibu vizuri kwa utuo
P
 
kaka inaonekana ulisoma kipind cha kuandka booklet 3 mtihan mmoja
pin point ayo mazur tutapima wenyew
mazur yapo zanzibar tu umaskin wetu wakutosafiri unatufumba sana macho na akili
Ni kweli , hii ni makala ya gazeti
P
 
Unatumia kiungo gani kufikiri ?
Kwenye mwili wa binadamu, ni kiungo gani kina uwezo wa kufikiri?, ndio natumia hicho. Ila binadamu
Tumeumbwa tofauti tofauti, labda kuna wenzetu mmeumbwa na kiungo zaidi ya kimoja cha kufikiri!
P
 
Ni kweli uyasemayo ni sahihi hakuna Binadamu asiye kuwa mwema,Rais kafanya kazi kubwa mnoo ila penye kasoro apokee ushauri itasaidia Taifa alisema anafungua nchi lakini leo anaifunga tena.
 
Taifa hapa tulipofika sasa ni hatari! Tumegeuka Taifa la...... kila mtu anaimba mama mama mamaaaaaaa! Yote hiyo ni kutafuta uteuzi! Kusema kweli huyu mama amefeli pakubwa! Ningekuwa mimi ningewaachia wengine wakimbize kijiti nikabaki najilia pension ya bure!
 
Nenda kachukue fomu mzee mara hii watakufikiria hata usiposhinda mbele ya wajumbe, umejitahidi sana kufanya uchawa ulio tukuka kwa muda wote wa bibi chaudere
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…