Mnyonge mnyongeni, haki yake mpeni. Rais Samia anastahili pongezi kwa aliyoyafanya

Mzazi bandidu sana
 
Siku hizi fofauti kati yako mdogo wangu Pascal Mayalla na Lucas Mwashambwa ni ndogo sana kama unene wa wembe.
 
Siku hizi fofauti kati yako mdogo wangu Pascal Mayalla na Lucas Mwashambwa ni ndogo sana kama unene wa wembe.
Ni kweli watu wananiona chawa, uwezo wa wana jf wengi kusoma in between the lines ni mdogo, hivyo ma GT wetu wengi wamejiondokea zao au wako kimya, hata hili bandiko wanadhani ni la kichawa!.

Moja ya udhaifu wangu mkubwa ni uwezo wa kuvumilia kuendelea kuwepo jf wakati wengi wa level yangu wamejiondokea zao.

P
 
Pasco ugonjwa uliokupata wa kuisifia ccm hakuna mahali utapata dawa labda uje nikupigie chale hata nne tu unaweza kuzinduka
 
Ulimwambia speaker wa Bunge akiona jina lako alisukume sukume kidogo lisogee
Ni kweli, when in Rome you do as the Romans does!, Tanzania tuko Roma, Watanzania hawana haki ya kuchagua viongozi wanao wataka bali wanalazimishwa kuchagua viongozi wanaochaguliwa na vyama vya siasa.

Ili mtu ugombee lazima upitishwe na chama cha siasa, nilimtumia mwalimu wangu asaidie kwenye ku push push, haikusaidia kitu
P
 
Mwalimu wako kuna uwezekano asiishie kuwa Mwalimu wako anaweza Kuwa hata Rais wako. Baadae
 
Baba yangu wewe ni "MSOMI UNAYELIANGUSHA TAIFA".
 
Nenda kachukue fomu mzee mara hii watakufikiria hata usiposhinda mbele ya wajumbe, umejitahidi sana kufanya uchawa ulio tukuka kwa muda wote wa bibi chaudere
Ng'wanangwa aliishia kura moya kama jino la mbung'o! Ndiyo maana amegundua njia mpya ya kutafuta uteyuzi ni kuimba mapambio ya kusifu na kuabudu!
 
Mwendazake alipendwa na watanzania akapendeka sio huyu Rubbish President aliyejaza mabango barabara yakimpromoti km Soda ya koka kola..
 
Hutachaguliwa hata Mshika viatu wakati wa Match ya wabunge wa Ccm, hakuna mtu anayeteua Chawa wa umri wako, Kuwa na msimamo, and increase your value kwa kusema ukweli na ku support right things!
 
Mwendazake alipendwa na watanzania akapendeka sio huyu Rubbish President aliyejaza mabango barabara yakimpromoti km Soda ya koka kola..
Nimeeleza binafsi Mkuu mwenda sikuwahi mpenda.Nimepitia tabu sana nyakati zake.Ukizungumza Watanzania Mimi simo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…