Mnyonge mnyongeni, haki yake mpeni. Rais Samia anastahili pongezi kwa aliyoyafanya

Umechukua form tiyari au bado tuanzie apa kwanza
 
Paskali Paskali unadhani nini bado hakijafanyika kinachofanya watanzania wengi kutomkubali Samia hadi hiyo haki mnyonge apewe.
 
President aliyejaza mabango barabara yakimpromoti km Soda ya koka kola..
Kama unadhani hayo mabango barabarani ameyajaza yeye, endelea kudhani, mabango ya mabarabarani yamewekwa na waweka mabango na sio yeye!.
P
 
Bro, sijasoma hata kidogo uzi wako, nimesoma just heading. Kwani kuna nini? Unatia NIA? Huna pesa za takrima kaka or else nenda Usukumani Mwanza ingawa na watia NIA wa kule nao wana hela chafu kweli kweli, yaani wanazo hasa
 
NO REFORMS NO ELECTION, Watanzania wanajua vyama vingine nje ya CHADEMA ni Mali ya CCM hivyo uchaguzi bila CHADEMA tafsiri yake ni kwamba CCM inasimama peke yake kwenye uchaguzi na kujipigia kura.NO REFORMS NO ELECTION Hesabu zetu tunazifungia hapo.
 
Bro, sijasoma hata kidogo uzi wako, nimesoma just heading. Kwani kuna nini? Unatia NIA? Huna pesa za takrima kaka or else nenda Usukumani Mwanza ingawa na watia NIA wa kule nao wana hela chafu kweli kweli, yaani wanazo hasa
Next time kama hujasoma uzi, nakushauri usichangie kitu, bora jipitie zako tuu!.
Ni ushauri tuu.

P
 
Tatizo Una kisasi moyoni. Huwezi kutazama mambo vizuri...umepofushwa
 
Mkuu nimesoma andiko lote ni andiko refu sana lakini sijaona dhima wala mantiki yake... je ulitaka kusema nini hasa???
 
Nimeeleza binafsi Mkuu mwenda sikuwahi mpenda.Nimepitia tabu sana nyakati zake.Ukizungumza Watanzania Mimi simo.
Ni kweli Mafisadi,matapeli,vyeti feki na wauza ngada hawakuwa sehemu ya watanzania waliompenda Mwendazake...
 
Paskali, hongera kwa kupongeza. Naona ndo mtindo utakaokutoa.
Swali moja kwako; Unaonaje vita ya Samia dhidi ya wakristu? Itafanikiwa? Je ni ishara ya mtu mwenye akili ya kutosha kuwa kiongozi?
 
Kila laheri mtia nia wa ubunge.
 
Mkuu nimesoma andiko lote ni andiko refu sana lakini sijaona dhima wala mantiki yake... je ulitaka kusema nini hasa???
Hili ni bandiko la swali, ukiliona swali, jibu la swali la bandiko hili ndio lengo la bandiko hili.
P
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…