Mnyonge mnyongeni, haki yake mpeni. Rais Samia anastahili pongezi kwa aliyoyafanya

Fanya kazi ya kueleweka! Acha habari ya mishe! Kama hujakoma, yatakuja makubwa kuliko ya JPM, au utaambukiza kizazi tabia ya misheni tauni.
Mkuu unaelewa lakini maana ya mishe?.Samia ndio Raisi huyo kipenzi chako hayupo Tena unapoteza muda tu.Sidhani kama unaelewa matumizi sahihi ya kuambukiza.
 
Mabango yamewekwa bila yeye kuhusika, na kwavile sio jambo baya mtu kutangazwa nchi nzima, mwenyewe ameridhia.

Hata kuitwa Daktari, Kuongezeka Ph.D za Heshima: Kuna haja TCU watoe ufafanuzi wa matumizi ya title ya Dr. kwa Ph.D za heshima na Ph.D za ukweli? maadamu title ya kuitwa daktari ni title ya heshima, hakuna ubaya mtu kuheshimika, wenyewe wanapenda na mimi kwa upande wangu, naziheshimu hizo Ph.D hata ya Dakitari Mhe. Joseph Kasheku Msukuma nilimpongeza na kumshauri Kibajaji na yeye akachukue Ph.D yake...!
P
 
Mkuu unaelewa lakini maana ya mishe?.Samia ndio Raisi huyo kipenzi chako hayupo Tena unapoteza muda tu.Sidhani kama unaelewa matumizi sahihi ya kuambukiza.
Kama hayupo kwa nini ulimlalamikia? Kilichokupata ni matokeo ya tabia yako.
Wenzako hata wakati wa JPM tulikuwa safi tu! Au huna elimu ya kukusaidia?
 
Kama hayupo kwa nini ulimlalamikia? Kilichokupata ni matokeo ya tabia yako.
Wenzako hata wakati wa JPM tulikuwa safi tu! Au huna elimu ya kukusaidia?
UTalia sana ni wakati wetu sisi wazee wa mishe mishe.Na kamwe hatuwezi kurudia ule ujinga ule wa kuwapa nchi washamba.
 
KAKA BADO SIJAONA KIBALI CHAKO CHA TEUZI
 
UTalia sana ni wakati wetu sisi wazee wa mishe mishe.Na kamwe hatuwezi kurudia ule ujinga ule wa kuwapa nchi washamba.
Lugha ya 'washamba', tayari inanijulisha wewe ni mtu wa aina gani.Unatumia neno lisilokuwa na tafsiri. kwa ufupi ni neno la watu walio chini ki-elimu.
 
UTalia sana ni wakati wetu sisi wazee wa mishe mishe.Na kamwe hatuwezi kurudia ule ujinga ule wa kuwapa nchi washamba.
Wewe sasa ni hoi! Ongeza na kulawitiwa, iwe ninyi wazee wa mishe mishe na kulawitiwa. Si ndo mambo ya utawala huu? Au?
 
Lugha ya 'washamba', tayari inanijulisha wewe ni mtu wa aina gani.Unatumia neno lisilokuwa na tafsiri. kwa ufupi ni neno la watu walio chini ki-elimu.
mimi Niko chini kielimu nina maisha kuliko wewe msomi ambae mpaka Leo unamuwaza mtu ambae hayuko Duniani.
 
mimi Niko chini kielimu nina maisha kuliko wewe msomi ambae mpaka Leo unamuwaza mtu ambae hayuko Duniani.
Hebu kwanza eleza. Kwa nini unamlalamikia JPM hadi leo? Ulifanywa nini kinachouma kiasi hicho? Nataka nikupe ushauri kidongo ili angalau usiambukize kizazi chako machungu ya uzembe wa maamuzi yako.

Kwa sasa naona umeridhika na ubora wa maisha yako. una nini boss? Kwa nini unaridhika kiurahisi hivyo? Ni dalili mbaya ya watu walioishi ktk matatizo ya kutisha. Naona Unanitambia bila hata kunifahamu niko wapi. Vipi nikisema ni jilani yako, ninayejua mahangaiko yako na mkeo?
 
Pole sana!Jeska.
 
Mkuu Agent-47 , karibu pande hizi
Na siku ya Shukrani ni October 29!
P
 
Ni katika kukumbushana tuu, with 7 days to go kabla ya Uchaguzi, nawakumbusha tuu niliwahi kiandika nini humu kumhusu Rais Samia Suluhu Hassan, na uwezo wake wa urais wa JMT.

Hiyo October 29 tukiamua kumpa tena mitano mingine, then atafanya better and better!
Tumpe!.

Paskali.
 
Siku ya shukrani ni October 29
Ni katika kukumbushana tuu, with 3 days to go kabla ya Uchaguzi, nawakumbusha tuu niliwahi kiandika nini humu kumhusu Rais Samia Suluhu Hassan, na uwezo wake wa urais wa JMT.

Hiyo October 29 tukiamua kumpa tena mitano mingine, then atafanya better and better!
Tumpe!.

Paskali.
 
Huyu kweli siyo mseenge? Huko nyuma hakuwa hivyo.
 
Unazeeka vibaya, kaa chini ujitafakari Paskali.
 
Bado unaamini hakuna mbadala wa CCM ? Sijasikia ukisema lolote kwa kilichotokea, What a Shame Paskal
Facts are very stubborn things, bado hakuna mbadala wa CCM, This is a fact.

Ila kilichobadilika, nilikuwa najua Watanzania ni mafala na mazuzu siku zote, Thread 'Watanzania ni watu wa maneno maneno, kupiga kelele na kulialia tuu, Tukija kwenye Vitendo ni sifuri, 0, zero, nil, hamna kitu!. Je Tutabadilika?' Watanzania ni watu wa maneno maneno, kupiga kelele na kulialia tuu, Tukija kwenye Vitendo ni sifuri, 0, zero, nil, hamna kitu!. Je Tutabadilika?

hawa vijana GenZi, wameni surprise kujua kumbe sio Watanzania wote ni ma fala, wala sio Watanzania wote ni mazuzu!
P
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…