Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni, Samia ni Jembe - Mbowe

Mwenyekiti wa saccos sio wa kumwamini kabisa. Ndumilakuwili hatari, hayo maneno ni baada ya kulamba asali.
 
Ukisifiwa na mtu low IQ kama huyo inabidi ujitazame mara mbili na kutafakari, he is trying so hard mpaka anatia huruma!
 
Kwa kweli hakuna Rais mwenye upendo kama mama Samia
 
Huo ni mtazamo wake baada ya kulambishwa asali...

Kwani alilambishwa asali? Hii ni baada ya kufutiwa kesi na baadaye siku ile ile akaitwa Ikulu kuelezwa mazingira yaliyomfanya Samia aifute kesi na hasa baada ya Shehe Mkuu kumwomba Samia aifute kesi, Sasa hana njia ni lazima aonyeshe goodwill gesture
 
Hata alipochotwa Mwanza alitoka kusema vitu kama hivi
 
Chai ya ikulu hiyo!! M4C kwishney!!
 
Anaachajr kuwa jembe wakati kawalambisha asali? Mbowe na genge lako lote akiwemo nduwi wa kigoma ni matapeli wa siasa hamna jipya. Vipande vya fedha vimewazima kama hampo vile. Mmebaki kusifia tu wakati Nchi inadidimia.
 
MATAGA na SUKUMA GANG yatabisha tuu
 
Mama Saafi sana Mungu amlinde yupo vizuri
 
hahahahaaaa asali tamu jamani hapo hakuna kamanda tena alikuwa anasema uchafuzi sasa huyo rais anayemuamini na serikali yake imetokana na uchaguzi upi? hela nyokoo kabisa
 
Tatizo lingine la DJ ni elimu yake ndogo sana, hivyo anapelekwa tu sasa kama nyumbu.
 
Tatizo lingine la DJ ni elimu yake ndogo sana, hivyo anapelekwa tu sasa kama nyumbu.

Angekuwa na Elimu hawa tusingewafahamu leo
Zitto kabwe
John Mnyika
Halima Mdee
Patrobas Katambi
Mwita Waitara
Godbless Lema
Mayor Boniyai
Patrick olesosopi
Daniel
Easter Bulaya
Nusrat Hanje
Peter Msigwa
Marehemu Mawazo
Ali Bananga
Albert Msando
Marehemu Ben Saanane
Dogo janja Nassar
Silinde
Wakili Edwin

Dj amejenga sana Vijana ambao ni Lulu leo kwa Taifa asipuuzwe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…