Mnyonge mnyongeni lakini......

What's the big deal kusalimiana na Nelly kwenye awards show?
 
Sijajua alikuwa akiongea nao kwa kutumia lugha gani manake sisi watz tulishasema "kiswahili ndo lugha inayowaunganisha Watz" bila kujua kuwa pamoja na kuwa it is the language that unites us, at the same-time, the language that excludes foreiners!!!

Sent from my iPhone using JamiiForums app
 
Ulishakutana japo na kingwendu tu hapa bongo?...kwanini kusalimiana na Nelly isiwe big deal.

Sent from my iPhone using JamiiForums app

Mimi kukutana na akina Rick Ross, Usher, T.I., Jermaine Dupri, etc., kwenye convenience stores na gas stations ni jambo la kawaida sana.
 
Mimi kukutana na akina Rick Ross, Usher, T.I., Jermaine Dupri, etc., kwenye convenience stores na gas stations ni jambo la kawaida sana.

Oooh, kumbe kwenye gas stations, hiyo ni kawaida then, lakini kwenye official events kama zile, let the dude be proud of himself. Hata Bale alijisikia proud kukutana na mtabe CR7 kwenye timu moja.

Sent from my iPhone using JamiiForums app
 
Sasa hapo unakutana nao au unapishana nao?!

Yote kwa pamoja. Kama unajua convenience store ni nini basi utajua kwamba making small talk with other patrons is very common and ordinary.
 
hata marehemu marijani rajabu wakati wa uhai wake kuna waliokuwa wanamdiss ila miaka imepita karibia kila mtu leo anamuheshimu.......huyu dogo almasi kila kukicha wanamiss wanapungua naamini miaka mingi mbeleni kitu anachofanya leo kitakuja kukumbuka naye atenziwa kama msanii mkali wa kipindi chake
 
H.O.D unajua kupiga picha m2 wangu naskia na wewe umekuwepo
 
Yote kwa pamoja. Kama unajua convenience store ni nini basi utajua kwamba making small talk with other patrons is very common and ordinary.

Brother sioni sababu ya wewe kuponda.ishu ni kwamba kijana katoka stage moja kwenda nyingine,kwani wewe ulizaliwa ukijua kuna siku lazima utapishana na super stars wa muziki Duniani kwenye hizo stores? Ishu ni kwamba kitendo cha kupiga stori na Nelly ni mafanikio kwake sababu sidhani kama alishawahi fikiria kuwa ipo siku itakuja kutokea.

Acheni kujishaua wabongo,yani kuishi huko US ndio imekuwa nongwa,eti "it's not a big deal"
 
hapo aliweka nadhir nkienda lazma nkae na fulan.....juc kidding!
 
Hakuna sehemu nilipoponda chochote.

Acheni kujishaua wabongo,yani kuishi huko US ndio imekuwa nongwa,eti "it's not a big deal"

Kuishi US siyo nongwa na ku make small talk na Nelly si nongwa vile vile.
 
Tumesha jua kuwa upo US brother na huwa unaongea(small talk) na super stars kwenye stores.bila shaka umefurahi.Ila hatukupi hongera

Sihitaji hongera ya yeyote yule kwani hakuna la ajabu katika kufanya hivyo na Mmarekani yeyote yule, awe maarufu au si maarufu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…