Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
What's the big deal kusalimiana na Nelly kwenye awards show?
Ulishakutana japo na kingwendu tu hapa bongo?...kwanini kusalimiana na Nelly isiwe big deal.
Sent from my iPhone using JamiiForums app
Sasa hapo unakutana nao au unapishana nao?!Mimi kukutana na akina Rick Ross, Usher, T.I., Jermaine Dupri, etc., kwenye convenience stores na gas stations ni jambo la kawaida sana.
Mimi kukutana na akina Rick Ross, Usher, T.I., Jermaine Dupri, etc., kwenye convenience stores na gas stations ni jambo la kawaida sana.
Sasa hapo unakutana nao au unapishana nao?!
Yote kwa pamoja. Kama unajua convenience store ni nini basi utajua kwamba making small talk with other patrons is very common and ordinary.
Brother sioni sababu ya wewe kuponda.ishu ni kwamba kijana katoka stage moja kwenda nyingine,kwani wewe ulizaliwa ukijua kuna siku lazima utapishana na super stars wa muziki Duniani kwenye hizo stores? Ishu ni kwamba kitendo cha kupiga stori na Nelly ni mafanikio kwake sababu sidhani kama alishawahi fikiria kuwa ipo siku itakuja kutokea.
Acheni kujishaua wabongo,yani kuishi huko US ndio imekuwa nongwa,eti "it's not a big deal"
Sasa hapo unakutana nao au unapishana nao?!
Hakuna sehemu nilipoponda chochote.
Kuishi US siyo nongwa na ku make small talk na Nelly si nongwa vile vile.
Tumesha jua kuwa upo US brother na huwa unaongea(small talk) na super stars kwenye stores.bila shaka umefurahi.Ila hatukupi hongera