Mnyonge mnyongeni lakini......

Mnyonge mnyongeni lakini......

Tumesha jua kuwa upo US brother na huwa unaongea(small talk) na super stars kwenye stores.bila shaka umefurahi.Ila hatukupi hongera

achana nae!mbongo anayekaa US tunayemjua ni hasheem thabit peke yake!...huyu ana stress hajabahatika kupiga picha na diamond
 
Sihitaji hongera ya yeyote yule kwani hakuna la ajabu katika kufanya hivyo na Mmarekani yeyote yule, awe maarufu au si maarufu.

Sawa mkuu ila sisi wa uswazi kama alivyo dimond kwetu ni mafanikio.Heri yako wewe mbeba box ambaye ni kitu cha kawaida kwako.
 
Sihitaji hongera ya yeyote yule kwani hakuna la ajabu katika kufanya hivyo na Mmarekani yeyote yule, awe maarufu au si maarufu.

By the way when was the last time u networked with Nelly? And in which store? Haahahaaaaa
 
Hapo kwa ujanja domo hatoki kapa lazima apige aombe kolabooo chezeaaaaaaaa ndio uzuri wa domo huaga hachelewiii kesho tu tutasikiaaa
 
Tumesha jua kuwa upo US brother na huwa unaongea(small talk) na super stars kwenye stores.bila shaka umefurahi.Ila hatukupi hongera

Teh teh hapo kwenye hongera pamenivunja mbavu
 
Sijajua alikuwa akiongea nao kwa kutumia lugha gani manake sisi watz tulishasema "kiswahili ndo lugha inayowaunganisha Watz" bila kujua kuwa pamoja na kuwa it is the language that unites us, at the same-time, the language that excludes foreiners!!!

Sent from my iPhone using JamiiForums app

Hilo nalo neno..

Sent from my iphone using jamii forum
 
By the way when was the last time u networked with Nelly? And in which store? Haahahaaaaa

I don't need to because I'm not in the showbiz industry. And Nelly is a washed-up has-been, anyway.

But I get it why you folks think it's such a biggie.
 
Asee!! Hapa nampa hongera Nelly kwa kukutana Diamond..😉
 
Sijajua alikuwa akiongea nao kwa kutumia lugha gani manake sisi watz tulishasema "kiswahili ndo lugha inayowaunganisha Watz" bila kujua kuwa pamoja na kuwa it is the language that unites us, at the same-time, the language that excludes foreiners!!!

Sent from my iPhone using JamiiForums app

Picha nyingi za Diamondi huwa anapiga kwa pozi la kuonyesha "insecurity"...
KUna klitu kinamnyima confidence... Sijui ana at least manager wa kumsaidia maana amefanikiwa kupata international exposure sasa, lazima atumie vizuri nafasi hii, la sivyo atabaki kuwa wa bongo tu!

Congrats kijana ongeza bidii.
 
Kwa hapo Diamonds alipofikia ni hatua kubwa sana kishiriki tu hata bila kushinda ni hatua kubwa sana inatosha kabisa Hongera Diamonds
 
binafsi nampongeza hod picha imetoka poa sana
 
Back
Top Bottom