Mnyonge mnyongeni lakini......

Mnyonge mnyongeni lakini......

Wakaanga sumu wamesha fanya yao dah.... haters will become believers tu... this is bad

Acha sie tucheke ila alifaidipo kuwaona mastaa hivi kim na Kanye hawakuwepo nilomuona amber tu alifaid wajamenii wengine tutabakia kuwaona kwenye video na magazeti
 
Teh teh si unajua ile kitu ya kutotegemea maishani mwake lol

Tuanze basi kuimba na sie labda tutaenda hata south tukasalimiane na mafikizolo hapo domo sasa hiv anachart watsapp na Nelly
 
Hakuna sehemu nilipoponda chochote.



Kuishi US siyo nongwa na ku make small talk na Nelly si nongwa vile vile.

Tuliza bichwa, baba yako ndio amekubeba na umeolewa n
huko ndio maana upo US. lakini Diamond kutoka mazense amepigana na leo yupo hapo kwa jasho lake....
 
Acha sie tucheke ila alifaidipo kuwaona mastaa hivi kim na Kanye hawakuwepo nilomuona amber tu alifaid wajamenii wengine tutabakia kuwaona kwenye video na magazeti

Alijichekea kuhojiwa na Shemeji kwa Chris Brown lol
 
I don't need to because I'm not in the showbiz industry. And Nelly is a washed-up has-been, anyway.

But I get it why you folks think it's such a biggie.
et ametumia kidhungu tumsifie unalo babuuu hapa ndo bongo kama imekuuma mond kumsalimia Nelly kantangaze kwa jay z si jiran yako eeeh ha ha ha pyeeeee
 
Alijichekea kuhojiwa na Shemeji kwa Chris Brown lol

Hata mi ningejichekeaa mchezoo zamani tulikua tukimuona mr.nice yaan utafikiti sijui umemuona nani leo sembuse mastaa wa holywood,domo kajifaidia mengi angejua angeenda na Wema ili waongee nao vizurii
 
Tunakoelekea sasa huyu kijana atawaua watu kwa presha, kumchukia Diamond ni sawa na kujichukia ww ambapo mwisho wa siku utaumia ww.

Big up broda Dangote.
 
jaman wabongo wako kama wachawi c msifie tu kwan mnalipia loooh mh mond uko juuuuuuuuu wenye wivu watasanda kwa sana tu

Mh stop ua generalization sio mtu anaye comment usichopenda ni hater that is a freedom of expression kisa cha kuita wengne wachawi nini asipobadilika hzo tuzo ataziona kwa wengne huo ndo ukweli
 
Sijui kwa nn watz mnamwona Diamond hajui kingereza ,wakati mastaa wote huongea nao kwa lugha hiyo hiyo tena vizuri tu..angalia clip akihojiwa na demu wa chriss brown karrueche kwenye red carpet ndio ujue alkua anaongea kabila gani

With me I do not see language as a problem; rather his presentation on interview; clearly kuna kitu anakosa, na ninahisi bado hajafunzwa how to be where he is. Mind you criticism may be used to strengthen him and not as you think dude...
 
Wewe Kaka Hembu acha Roho Mbaya na ya Kwa nini....Hapa Marekani hauko peke yako, ila tujue kusifia na kussuport vtmya kwetu & ukweli ni kwamba Diamond kajitahidi na kapiga hatua ya kihistoria Tanzania. Still mahaters tunajuwa mtaponda siku zote.

Kaza buti Diamond some of us R proud of you & tuko behind u for sure....
 
Huwa sivutiwi na huyu kijana ila kwenye ukweli lazima tuwe wakweli,huyu kijana kajitahidi,hayo matuzo ya bet huwa ni makubwa sana,kufika huko ni mafanikio makubwa sana. Naona anasalimiana na nelly,tena nelly anaonekana kumpa heshma zote,anamsalimia kwa mikono miwili. Hongera bwana mdogo
 
Sijajua alikuwa akiongea nao kwa kutumia lugha gani manake sisi watz tulishasema "kiswahili ndo lugha inayowaunganisha Watz" bila kujua kuwa pamoja na kuwa it is the language that unites us, at the same-time, the language that excludes foreiners!!!
itakua madame ameshamfua mpaka ameiva!" .........
 
Back
Top Bottom