johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Uongozi ni Karama, Uongozi ni Taranta, Uongozi ni Zawadi Kutoka kwa Mungu wa mbinguni
Ipo tofauti kubwa Kati ya Leader, Manager na Administrator
Freeman Mbowe is a leader
Kiongozi wa Upinzani kuaminiwa na Viongozi wa Dini na wakatumia Jukwaa lako kuikosoa na kuishauri Serikali siyo jambo dogo, kunahitaji Hekima ya Mungu
Niishie hapo
Mungu wa mbinguni awabariki!