johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Jo ubarikiwe wajukuu wengi maradufu ya ulionao hivi leo,upo wakati unanena maneno ya baraka kwa taifa letu na watu wake.Uongozi ni Karama, Uongozi ni Taranta, Uongozi ni Zawadi Kutoka kwa Mungu wa mbinguni
Ipo tofauti kubwa Kati ya Leader, Manager na Administrator
Freeman Mbowe is a leader
Kiongozi wa Upinzani kuaminiwa na Viongozi wa Dini na wakatumia Jukwaa lako kuikosoa na kuishauri Serikali siyo jambo dogo, kunahitaji Hekima ya Mungu
Niishie hapo
Mungu wa mbinguni awabariki!
Naanza kuona hakuna nchin inayo"abuse" neno Mungu kama Tanzania. Mtu akifa ati Mungu, Mtu akiwa Rais kapewa na Mungu, siku hizi hata research hazifanywi eti kapanga Mungu, --------------- Hii nchi inakuwaje?Uongozi ni Karama, Uongozi ni Taranta, Uongozi ni Zawadi Kutoka kwa Mungu wa mbinguni
Ipo tofauti kubwa Kati ya Leader, Manager na Administrator
Freeman Mbowe is a leader
Kiongozi wa Upinzani kuaminiwa na Viongozi wa Dini na wakatumia Jukwaa lako kuikosoa na kuishauri Serikali siyo jambo dogo, kunahitaji Hekima ya Mungu
Niishie hapo
Mungu wa mbinguni awabariki!
Mbowe alimla mama yako?Mbowe ni mbaguzi wa kikanda, kikabila, kidini, ameenda mbali zaidi kuwabagua wazanzibas, na bado hatujasahau alichowafanya chacha wangwe(r.i.p) na zito kabwe. angekuwa china angeshanyongwa siku nyingi sana
Nakubaliana naww ingawa kimachalechale!!Uongozi ni Karama, Uongozi ni Taranta, Uongozi ni Zawadi Kutoka kwa Mungu wa mbinguni
Ipo tofauti kubwa Kati ya Leader, Manager na Administrator
Freeman Mbowe is a leader
Kiongozi wa Upinzani kuaminiwa na Viongozi wa Dini na wakatumia Jukwaa lako kuikosoa na kuishauri Serikali siyo jambo dogo, kunahitaji Hekima ya Mungu
Niishie hapo
Mungu wa mbinguni awabariki!
Nan aliekwambia wanataka watu calibre hiyo?Kusema kweli Huyu mtu Mbowe namkubali sana.
ccm sijui kwanini imekosa watu wenye talanta kama huyu!
How? Jus'for gettin' some paper shit from shujaa and then join the chain? Leader with vision should stand for wat he's believing from day one, when he was at chadema!!!👇👇 while he was supporting shujaa.Is he a visionary leader? If the answer is yes, he could surrender the leadership to the philosopher "Silaa". That man is a leader with vision.
Upo safarini kwenda Dom,akifika atakuhabarisha.masikitiko yangu makubwa ni mpaka sasa sijaona comment ya reporter mtiifu wa chadema bwana Erythrocyte