Nyuki Mdogo
JF-Expert Member
- Oct 31, 2021
- 4,134
- 10,644
mnyoo wa kupiga mizinga huyomwanamke
Mi mwenyewe najipiga maswali mwenyewe namajibu hayaji yani kukomenti kwenyewe nimekoment kupitia comment yako [emoji1] [emoji1787]Mnyoo unaingilia wapi mpaka kufika ubongoni na unakula nini?
Mnyoo unaingilia wapi mpaka kufika ubongoni na unakula nini?
Nguruwe si chakulaMinyoo ya nguruwe ndiyo hatari zaidi na binaadam wengi wanaipata kwa kula nguruwe.
"Trichinosis".
Minyoo ya nguruwe ndiyo hatari zaidi na binaadam wengi wanaipata kwa kula nguruwe.
"Trichinosis".
Nguruwe si chakula
Ila sijui kwanini nguruwe nimetokea kutokumpenda kabisa esp nilipojua anaingia hedhi kama binadamu. Mpaka harufu ya nyama yake siipendi. Labda niwe na njaa sana ndo nitamla.Sio nguruwe tu hata nyama ya kondoo Ecchinococcus granulosus (echinococcosis). Chamsingi ni kuhakikisha nyama inapikwa vzr inaiva ndio iliwe.
Umesahau kuna Taenia saginata napatikana kwenye nyama ya ngombe ambayo ni infected.
Ila sijui kwanini nguruwe nimetokea kutokumpenda kabisa esp nilipojua anaingia hedhi kama binadamu. Mpaka harufu ya nyama yake siipendi. Labda niwe na njaa sana ndo nitamla.
mnyoo wa kupiga mizinga huyo
Ila sijui kwanini nguruwe nimetokea kutokumpenda kabisa esp nilipojua anaingia hedhi kama binadamu. Mpaka harufu ya nyama yake siipendi. Labda niwe na njaa sana ndo nitamla.
Kula nikule
[emoji3][emoji3]Mi mwenyewe najipiga maswali mwenyewe namajibu hayaji yani kukomenti kwenyewe nimekoment kupitia comment yako [emoji1] [emoji1787]
Ok sasa huyu mnyoo huko ubongoni anakula nini?Kuna wanao toboa ngozi(hookworms),kuna ambao wanaingia kwa njia ya mdomo kupitia vyakula ama maji,kuna ambao wanasafirishwa na vectors jama mbu(filariforms) n.k
Ok sasa huyu mnyoo huko ubongoni anakula nini?
ni vipimo tu havipo, ila huku africa nafikiri kuna vyuma vina minyoo hadi mita 30.