Mnyoo wapatikana kwenye ubongo wa Binadamu huko Australia

Mnyoo wapatikana kwenye ubongo wa Binadamu huko Australia

Mnyoo unaingilia wapi mpaka kufika ubongoni na unakula nini?
Ndugu minyoo mingi hupitia njia ya damu ,na kama unavyojua mwili wetu umeundwa na mishipa mingi ya damu sasa pale unapokuwa upo kwenye mshipa wa damu inapelekea kwenye ubongo basi inaweza ikawa sio mnyoo kama mnyoo inaweza ikawa ni mayai yake husafiri Hadi kwenye ubongo ....huku ndipo huenda kukaa nakula kama vile vile seli za ubongo zinavyokula kupitia different supportive cells (astrocytes)
 
Acha kudanganyika nguruwe haingii hedhi hizo ni stori za wafia dini wapumbafu wanao penda kupotosha kwa manufaa yao,katika wanyama wote duniani kiumbe mwenye menstrual cycle ya kuvuja damu ni binadamu pekee,wanyama wote waliobaki wana kitu kinaitwa eostrous cycle ,baada yai kutokurutibishwa huwa linakuwa dissolved mwilini wala hakuna damu ya period kama mwanadamu.

Jielimishe,kataa wahuni.
Mm sifugi nguruwe na sijui tabia zao.

Do Pigs Have Periods and Bleed? Pigs do not have menstrual cycles, but they go through estrus cycles, which is quite similar to menstruation. This is more commonly referred to as a period when a female pig is “in heat”. This happens for 3 to 5 days every 21 days and can start as early as the pig's 12th week.
 
Back
Top Bottom