Mnyoosho tu huu, pigeni pasi kama itabaki na mikunjo

homboyz

Senior Member
Joined
Oct 19, 2016
Posts
127
Reaction score
139
Kuna kundi A / team haina office, haina sehemu ya mazoezi, wanaazima vifaa vya music bend,hawana wasaidiz katika idara mbali mbali za kazi zao eg. Stylish, videographer au choreographer, kila kitu kinafanywa na artist au manager, wengine ktk team hata manager hawana,no marketing plan, haijulikni ratiba ya shughuli yeyote hata show.

Kundi lingine B wana office, wana vifaa vya band, kuna watu kwenye kila idara, kuna studio, kuna marketing plan, kodi inalipwa na inafahamika, ( UWAZI ) ratiba ya shows

Lakini kundi A linawaambia wenzao B wanafanya mziki kiujanja ujanja.

HAPANA, NAFIKIRI KUNDI A WAZEE WA KULALAMIKA MNATAKIWA MBADILIKE NYIE NDIO WAJANJA WAJANJA COZ HAMNA PROFESSIONALISM KATIKA MZIKI WENU, MNAFANYA KWA KUJARIBU.
 
Wasafi wanazalisha oxygen nying sana!! Cjui watazipumulia wapiii
 
Yani pamoja na kuwa na mameneja 6, sijui bendi, choreographer, wasaidizi wa kuwabebea simu, videographer lakini cha kushangaza vichwa vyote hivyo mnatoka na wazo la copy & paste.
Mfano: video ya kokoro ni copy & paste kutoka kwenye video ya Lil Wayne - Love Me feat. Drake and Future.


Copy

Paste
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] huu ni uchochezi
 

Mdau umenena vema ila jiandae Na matus toka upande wa kibakuli maana hawakubali kushindwa
 
Mdau umemaliza yote mi ngoja nijiweke kama akiba.
 
wenye video yao walikuja kuwadai?
kati ya oG na paste/copy ipi imebamba?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

hater..s
 
Safi sana kwa kuelewa umuhimu wa kufanyakazi kwa staili ya kundi B, na kwamba kundi A linalojiendesha shagalabagala HALIPASWI KUJIITA MUZIKI MZURI WAKATI WANAFANYA MAMBO HOVYOHOVYO. ILA TU UNATATIZWA PAMOJA NA KUFANYA MAMBO YAO KITAALAMU, KISOMO, KISASA NA KIMIKAKATI,unajiuliza kwa (UPEO wako wewe) "kwanini wame copy & past ???"

Kwanza hakuna sheria inayomkataza mtu kuiga music video.
Pili,hiyo video haijaigwa,ila imekaribiana kimatendo.
Tatu, HAKUNA KIPYA CHINI YA JUA, KILA KITU UNACHOKIONA KIMESHAWAI KUFANYWA, NA NDIO MAANA HATA VIDEO YA OMMY NA KIBA WAMEIGA LOCATION YA VIDEO YA HARMONIZE NA DIAMOND YA BADO.
 
Pls prove before us that " Kundi B hawana vyote hivyo unavyovisema "
 
TUKIO LA DIAMOND KUWACHA LIVE WATU WANAOMSAKAMA KILA LEO LITAPUNGUZA SANA KUMFUATAFUATA KILA MARA MAANA WAMESHAJUA JAMAA ACHELEWI KUWAROPOKEA,TOFAUTI NA WATU WANAVYOSEMA ETI MOND ANGEENDELEA KUUCHUNA,HIYO INGEENDELEA KWA WATU KUMTAJATAJA LAKINI SASA WATAPUNGUZA KAMA SIO KUACHA KABISA. LAKINI MOND HASINGEROPOKA JANA BASI KILA SIKU WANGEKUWA WANAMTUPIA MADONGO.
 
Pls prove before us that " Kundi B hawana vyote hivyo unavyovisema "
Safi sana kwa kuonyesha ukomavu wenu wa mambo kwa leo,naamini hii ni baada ya mwenye BONGO FLEVA YAKE KUWAROPOKEA ILI MPUNGUZE VIHEREHERE KAMA NI MUZIKI PAMBANANE KWA NGUVU ZENU SIO KWA KUTUMIA JINA LAKE,NA KWASASA NAAMINI ULE UPUUZI ULIOKUWA UNAENDELEA UTACHWA MARA MOJA MAANA MMESHAONA JAMAA MWENYEWE HAJALI NANI WALA NANI NA HAJAMFUMBA MTU.
Mkuu hebu tuambie kipi unachokijua wewe hawana,ila mleta mada kakitaja .....???
 
DIAMOND ndio keshawazima kelele zenu na sasa hivi itakuwa kimya,maana kwanza kawaonyesha kuwa hataki matusi,kamkamata mtu wenu wa matusi kamuweka ndani,sasa nenda kwenye page yake katukane uone,pili keshawapaka mbaya mno na alifanya makusudi ili muwe na adabu,ANGALIENI SASA HIVI KAMA HUYO MWENYE MATOBO ATAPOSTI UJINGA WAKE AU YULE MWINGINE KAMA ATAKUWA ANAJIROPOKEA KAMA ZAMANI, SASAHIVI MOND ANARUDISHA HESHIMA YAKE NA WATAKUWA WANAMPITIA KWA MBALI MAANA WANAJUA JAMAA MWENYEWE DOMO LAKE HALIJAVAA PICHU.
 
Mdau umemaliza yote mi ngoja nijiweke kama akiba.
Mkuu una akil sana, maana daaah apa tusingepona, ubarikiwe sana, nataman japo uchumi umekaba ktaa nkupe ata ka serengeti kadogo km unatumia.
 
We jamaa sasa sijui wcb wamekupigia dem wako mtungo mbona hutuliu tangia nyimbo inatoka
 
washamba hawa tumeshawasoma tutawashika kwenye kilima... watawadanganya ambao sio wafuatiliaji ila jibu lako limewatosha sana lazima wakaweke kikao wajiulize
 
wenye video yao walikuja kuwadai?
kati ya oG na paste/copy ipi imebamba?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

hater..s
kaangalie views youtube lil wayne love me halafu uje na majibu
 

kwenye dunia hii hakuna jipya chini ya jua.au ww masanja haukumckia?mbona km hivyo diamond kila ktu amepest au dangote haujajua kuwa amekopi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…