homboyz
Senior Member
- Oct 19, 2016
- 127
- 139
Kuna kundi A / team haina office, haina sehemu ya mazoezi, wanaazima vifaa vya music bend,hawana wasaidiz katika idara mbali mbali za kazi zao eg. Stylish, videographer au choreographer, kila kitu kinafanywa na artist au manager, wengine ktk team hata manager hawana,no marketing plan, haijulikni ratiba ya shughuli yeyote hata show.
Kundi lingine B wana office, wana vifaa vya band, kuna watu kwenye kila idara, kuna studio, kuna marketing plan, kodi inalipwa na inafahamika, ( UWAZI ) ratiba ya shows
Lakini kundi A linawaambia wenzao B wanafanya mziki kiujanja ujanja.
HAPANA, NAFIKIRI KUNDI A WAZEE WA KULALAMIKA MNATAKIWA MBADILIKE NYIE NDIO WAJANJA WAJANJA COZ HAMNA PROFESSIONALISM KATIKA MZIKI WENU, MNAFANYA KWA KUJARIBU.