Mnyoosho unaendelea: Diamond ashinda tuzo African Achivers Awards usiku huu

Wasalaam mwakilishi wetu wa kimataifa kwenye sekta ya muziki ametwa tuzo nyengine inayofahamika kama AFRICAN ACHIVERS AWARDS ambayo zimefanyika leo usiku huko south africa ambazo zinasimamiwa na forbes ambapo ameshinda kama msaani bora wa mwaka.

Hongera sana saa hivi naanza kuelewa maana ya haka kamsemo ambako leo nimekaona leo kwenye tshirt maeneo ya sinza mori cha KUWANYOOSHAA hama kwaa hakika endeleaa tu kuwanyoosha ili wanyooke tuu.
 
Hongera Mondi bin Laden 👏👏👏👏👏👍👍👍👍👍👍👍😁😁😁😁😁🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏 the Tanzanian icon
 

wamekaaaaaaaaaaaaaa!!!! Addict
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…