Mnyoosho unaendelea: Diamond ashinda tuzo African Achivers Awards usiku huu

Mnyoosho unaendelea: Diamond ashinda tuzo African Achivers Awards usiku huu

Maboso

JF-Expert Member
Joined
Feb 18, 2013
Posts
5,164
Reaction score
5,762
sk-14.jpg


1.jpg


And the winner is @diamondplatnumz for Artist of the Year #AfricanAchieversAwards


Salaam SK

@Sallam_SK Tunamshukuru Mungu anazidi kudhihirisha kilicho bora kwa vitendo,Africa inatambua juhudi za @diamondplatnumz ni faraja kubwaa



 
Wasalaam mwakilishi wetu wa kimataifa kwenye sekta ya muziki ametwa tuzo nyengine inayofahamika kama AFRICAN ACHIVERS AWARDS ambayo zimefanyika leo usiku huko south africa ambazo zinasimamiwa na forbes ambapo ameshinda kama msaani bora wa mwaka.

Hongera sana saa hivi naanza kuelewa maana ya haka kamsemo ambako leo nimekaona leo kwenye tshirt maeneo ya sinza mori cha KUWANYOOSHAA hama kwaa hakika endeleaa tu kuwanyoosha ili wanyooke tuu.
 
Hongera Mondi bin Laden 👏👏👏👏👏👍👍👍👍👍👍👍😁😁😁😁😁🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏 the Tanzanian icon
 
Hongera Mondi bin Laden 👏👏👏👏👏👍👍👍👍👍👍👍😁😁😁😁😁🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏 the Tanzanian icon

wamekaaaaaaaaaaaaaa!!!! Addict
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom