Heaven on Earth
JF-Expert Member
- Mar 21, 2013
- 37,226
- 26,687
Huyo Katunzi mwenyewe kanyooshwa!!! Au hufahamu ni nani wa kwanza kufahamiana na Zari kati ya Katunzi na Diamond?labda akamnyooshe katunzi kwa kumchukua zari
Aisee ni hatari, huyo mtoto mtarajiwa nae amejaa baraka tele.
UGANDA zinamsubiri tuzo 3.
Itafika mahali tutaona ni kawaida, kumbe si kawaida. Mtu kayatoa maisha yake.
pelekeni uko taarabu zenu
wote hawa ndomo na AY hawajafika level ya KING
jukwaani zero kichwani o. na tungo zero,tuzo ya kununuaaa
tuzo za kununuaaa
labda akamnyooshe katunzi kwa kumchukua zari
vituzo maandazi lakin jukwaani hana kitu huyu domo, mziki hajui kuimba zero,tuzo za kununua nyambafu
wote hawa ndomo na AY hawajafika level ya KING
naomba unijibu mzee wewe ni jokate au wemasepetu nilikuuliza hili swali tangia jana haujanijibu maana naskia hawa mabinti wawili ndio hawapendi maendeleo ya huyu kijana na naona wewe unatumia energy kubwa sana kwenye uzi wowote unaomuhusu chibu dangote funny enough unapenda kuingizia story za zari wewe sio ex wa diamond kweliii sidhani kama shabiki wa kweli wa ali kiba anaweza behave this way ali kiba mwenyewe nishawahi kukutana nae maeneo flani kitambo kidogo ni kijana flani mpole na mnyenyekevu sidhani kama anastahili kua na shabiki kama wewe.
Eti hii kitu inaitwaje? Inatumika kufanyia nini vile?
Hoyaa, kumbe umeshitukia mchongo? Tufanyie staha basi usitangaze tangaze ibaki siri yako. Unajua mi nilishaandikaga kwenye page ya Tale, kwamba hoya, haya mambo ya kununua tuzo sio siku watu wakishutikia itakuwa sio. Kausha wangu, au sio?!mkuu tulia presha ya nini,tunajua kuwa kanunua tuzo tunajua na ushahidi upo tunao, ananunua tuzo eti apate umaarufu! Mond bado mtoto sana kwa kiba, hajui kuimba, kutunga nyimbo hajui lolote
Tuzo za chumban hizi kwanza ndo kwa mara ya kwanza nimezisikia kutoka kwa babu tale na Fella. Teteteteh
Huyo Katunzi mwenyewe kanyooshwa!!! Au hufahamu ni nani wa kwanza kufahamiana na Zari kati ya Katunzi na Diamond?
Hoyaa, kumbe umeshitukia mchongo? Tufanyie staha basi usitangaze tangaze ibaki siri yako. Unajua mi nilishaandikaga kwenye page ya Tale, kwamba hoya, haya mambo ya kununua tuzo sio siku watu wakishutikia itakuwa sio. Kausha wangu, au sio?!
Hakuna aliyekuuliza upo wapi na issue yenyewe wala haitegemei upo wapi ili uweze kuafahamu kuhusu awards tajwa!Yaani ndo elimu hii? Uliona wapi legitimacy ya kitu inapimwa kwa kuangalia citizenship ya wahusika? Kama issue ni u-Nigeria, kwahiyo unataka kusema hata Dangote anayewekeza kule Mtwara nae ni tapeli? Badala ya kuangalia team inayounda taasisi husika na profile zao wewe unazungumzia citizenship!!!! Kabisa, sema ondoa hiyo "m" kisha i-replace na "t"... au sio mwenzetu ndugu? Manake Kiswahili chako kimenyooka ile mbaya!!!Duh! Kumbe ndo maana Maboso ameniambia natumia rungu kuua inzi!! Manake we mwenzetu inaelekea hufahamu hata waliotumbuiza hivi majuzi kwenye Road to MAMA achilia mbali waliotumbuiza kwenye tuzo za CAF January 2015 mjini Lagos!! Mara oh, sipo Africa as if umeulizwa lakini bado hauna access to information!!! Nilidhani Africa ndo bara la mwisho kabisa duniani kwa barriers to information!
Labda nitumie lugha nyepesi kutumbuiza ninakozungumzia ni kama unavyosikia davido this week alikuwa togo amealikwa kama yye davido sio kwenye awards gala au niseme nmeona hapa huyo diamond 2lastweeks ago alikuwa sijui singida sasa ije usikie siku amepata show japo ethiopia tu akapige concert hiyo ndio inaonesha kukubalika sio hiyo ya kuperfom kwenye events za haohao uliopanga nao kukupa tuzo!