Mnyoosho unaendelea: Diamond ashinda tuzo African Achivers Awards usiku huu

Mnyoosho unaendelea: Diamond ashinda tuzo African Achivers Awards usiku huu

Huyu Domo Ndumba Zitamuua Mwaka Huu.Uwezo Wake Bado Ni Mdogo Sana.Ila Kwasababu Ya Ndumba Kelele Kila Kona.Ila Akaeakijua Mda Wake Wa Kupotea Kama Mr.Nice Umefika!
 
Huyu Domo Ndumba Zitamuua Mwaka Huu.Uwezo Wake Bado Ni Mdogo Sana.Ila Kwasababu Ya Ndumba Kelele Kila Kona.Ila Akae akijua Mda Wake Wa Kupotea Kama Mr.Nice Umefika!
 
Kiba anapiga show wapi?mkuu

Bahati mm sipo kwenye hayo makundi yenu ninachojaribu kukupa ni fact tu,anakofanya show kiba ndiko hukohuko afanyako show diamond,jux,rich mavoko na wengine huo ndio ukweli taratibu utaelewa tu kuwa hizo tuzo ni za bagumashi ili ushindanishwe kwanza ufanye collabo na wanaigeria,ufanye video kwa producer wa kinigeria then uende pia lagos akaongee nao kabla kuwa nominee.hao wapopo hamuwajui ss tunaishi nao huku ndg yangu
 
ARTST OF THE YEAR.................BAbababababa wamekaaaaaaaaaaaaaa HUREEEEEEEEEEEEEEEEE...
 
huyu domo ndumba zitamuua mwaka huu.uwezo wake bado ni mdogo sana.ila kwasababu ya ndumba kelele kila kona.ila akae akijua mda wake wa kupotea kama mr.nice umefika!

we ni mchawi au mwanga.....
 
Bahati mm sipo kwenye hayo makundi yenu ninachojaribu kukupa ni fact tu,anakofanya show kiba ndiko hukohuko afanyako show diamond,jux,rich mavoko na wengine huo ndio ukweli taratibu utaelewa tu kuwa hizo tuzo ni za bagumashi ili ushindanishwe kwanza ufanye collabo na wanaigeria,ufanye video kwa producer wa kinigeria then uende pia lagos akaongee nao kabla kuwa nominee.hao wapopo hamuwajui ss tunaishi nao huku ndg yangu

Kwahiyo rich mavoko ameshawahi kufanya show Nigeria(any show) or UK one man show?
 
Kwahiyo rich mavoko ameshawahi kufanya show Nigeria(any show) or UK one man show?

Huku ulaya ukisikia wamekuja wanamuziki wa kikwetu ni kuwa wanakuja kutumbuza kwenye za wa eastafrica wenzao nnamanisha wote hata siku akija mavoko atawaimbia walewale watz wenzake na hiyo usijekudanganywa kuwa daimond uwa atatumbuiza wazungu never!!!
 
Hapana bruv sidhani kama uliiona hiyo shows haikua na watanzania pekee and for the record show anazofanya diamond ni tofauti na wasanii wengine.
 
Mimi Simkubali Kabisa Huyu Mr.Domokapu.Coz Anauwezo Mkubwa Mitandaoni Kuliko Jukwaani.Na Hizi Tuzo Zake Horera Anazopewa Zinazihirisha Uwezo Wake Mdogo Alionao.Na Atapata Tuzo Nyingi Tu Mbovu Mbovu.
SASA Unasubiri nini kuchukua PASI NA KUJINYOOOSHA
 
Big up platnumz hizo tuzo zijengee nyumba special kabisa chumba pekee hakitatosha
 
Hapana bruv sidhani kama uliiona hiyo shows haikua na watanzania pekee and for the record show anazofanya diamond ni tofauti na wasanii wengine.

Ndg yangu hapo tunazungimzia mm ninapoishi hizi show uwa zinaandalia na waandaji wa kieast africa wenyewe na wateja ni ss washwahili wenyewe ni vitu vidogo sana kiasi hata huyo mzungu utayemuona labda yuko close na waswahili.subiri usikie siku diamond au alli kiba wanaperfom hide park au rain forest or wembley mzee nyerere atakaporudi kwa mara 2!
 
Well done Diamond! Keep it up! We love your music!
 
Huyu mtoto lazima atakuwa mwanga haiwezekani kila tuzo anashinda yeye tu. Na wale wenzake wakifa lazima atakuwa ni yeye kasababisha. We mtu wivu unamuuma hadi kula hawezi akifa unadhani si ni wewe ndo umesababisha vifo vyao? Nakuonya Dai hiyo ndio tuzo ya mwisho utaniulia watu
 
Back
Top Bottom