Kiba anapiga show wapi?mkuu
huyu domo ndumba zitamuua mwaka huu.uwezo wake bado ni mdogo sana.ila kwasababu ya ndumba kelele kila kona.ila akae akijua mda wake wa kupotea kama mr.nice umefika!
Bahati mm sipo kwenye hayo makundi yenu ninachojaribu kukupa ni fact tu,anakofanya show kiba ndiko hukohuko afanyako show diamond,jux,rich mavoko na wengine huo ndio ukweli taratibu utaelewa tu kuwa hizo tuzo ni za bagumashi ili ushindanishwe kwanza ufanye collabo na wanaigeria,ufanye video kwa producer wa kinigeria then uende pia lagos akaongee nao kabla kuwa nominee.hao wapopo hamuwajui ss tunaishi nao huku ndg yangu
Kwahiyo rich mavoko ameshawahi kufanya show Nigeria(any show) or UK one man show?
Huku ulaya ukisikia wamekuja wanamuziki wa kikwetu ni kuwa wanakuja kutumbuza kwenye za wa eastafrica wenzao nnamanisha wote hata siku akija mavoko atawaimbia walewale watz wenzake na hiyo usijekudanganywa kuwa daimond uwa atatumbuiza wazungu never!!!
SASA Unasubiri nini kuchukua PASI NA KUJINYOOOSHAMimi Simkubali Kabisa Huyu Mr.Domokapu.Coz Anauwezo Mkubwa Mitandaoni Kuliko Jukwaani.Na Hizi Tuzo Zake Horera Anazopewa Zinazihirisha Uwezo Wake Mdogo Alionao.Na Atapata Tuzo Nyingi Tu Mbovu Mbovu.
Hapana bruv sidhani kama uliiona hiyo shows haikua na watanzania pekee and for the record show anazofanya diamond ni tofauti na wasanii wengine.
mmh kwakweli cha moto mnakiona, karibu kwa mcharo mwaya
Na hii waseme sasa TUZO YA KUKATA VIUNO