johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Wamesajili makapi kutoka Yanga!Simba washamsajili pogba ?
Manara yupo Upande wa kwa mwenye Pesa. MoSijamsikia manara akibwabwaja! Au nae yuko upande wa mzalendo kimya kimya!
Hapana Manara yuko kwa mzalendo Kilomoni ndio maana kaambiwa hana elimu ya kuwa msemaji wa Simba hivyo nafasi yake imetangazwa kuwa wazi.Manara yupo Upande wa kwa mwenye Pesa. Mo
Hakika mkuu!Sijamsikia manara akibwabwaja! Au nae yuko upande wa mzalendo kimya kimya!
Ni kweli haya?Hapana Manara yuko kwa mzalendo Kilomoni ndio maana kaambiwa hana elimu ya kuwa msemaji wa Simba hivyo nafasi yake imetangazwa kuwa wazi.
Kama una sifa omba hiyo kazi ya Manara upate uhakika!Ni kweli haya?
Ndege wafananao huruka pamojaKama una sifa omba hiyo kazi ya Manara upate uhakika!
Yule sio msemaji, ni msema hovyoKama una sifa omba hiyo kazi ya Manara upate uhakika!
Maendeleo hayana vyama,Naona zamu hii wazalendo kutoka pande na fani tofauti tofauti wanapita katika misukosuko ya hapa na pale.
Baada ya jana mzee Makamba na Kinana kumburuza mwanaharakati huru Cyprian Musiba mbele ya Baraza la wazee wa CCM, leo club ya Simba ikiongozwa na tajiri MO imemburuza mzalendo anayelinda jengo la HQ la Simba lisiwekwe rehani......mbele ya kamati ya maadili ya TFF.
Go Kilomoni go.....wewe ni mzalendo usiyetishwa!
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]msema hovyo wa SimbaYule sio msemaji, ni msema hovyo
Kwani mwenye hati nani? Alafu mzee mzałendo alishasema yeýe ana hati ýa sunderland, nyie simba tafuten hati yenu mumpe MoMaendeleo hayana vyama,
Huyu Kilomoni ye Simba ni ya kwake?
Kwani mwenye hati nani? Alafu mzee mzałendo alishasema yeýe ana hati ýa sunderland, nyie simba tafuten hati yenu mumpe Mo
Ilo swali lako kamuulizè mzeē mzalendo kilomoni mwenye akili nyngi kuwazidì vijana wote hapo umbumbuniSunderland ina shiriki ligi ya nchi gani?
Sunderland imeanzishwa lini?Kwani mwenye hati nani? Alafu mzee mzałendo alishasema yeýe ana hati ýa sunderland, nyie simba tafuten hati yenu mumpe Mo