MO afuata nyayo za Makamba na Kinana ampeleka mzalendo Kilomoni kamati ya maadili TFF

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Naona zamu hii wazalendo kutoka pande na fani tofauti tofauti wanapita katika misukosuko ya hapa na pale.

Baada ya jana mzee Makamba na Kinana kumburuza mwanaharakati huru Cyprian Musiba mbele ya Baraza la wazee wa CCM, leo club ya Simba ikiongozwa na tajiri MO imemburuza mzalendo anayelinda jengo la HQ la Simba lisiwekwe rehani......mbele ya kamati ya maadili ya TFF.

Go Kilomoni go.....wewe ni mzalendo usiyetishwa!
 
Hebu mwacheni mo bana, msimfananishe na hao wastaafu wasiotaka kustaafu.
 
Kama una sifa omba hiyo kazi ya Manara upate uhakika!
Ndege wafananao huruka pamoja
FB_IMG_1551011926211.jpeg
tapatalk_1558808277006.jpeg
 
Naona zamu hii wazalendo kutoka pande na fani tofauti tofauti wanapita katika misukosuko ya hapa na pale.

Baada ya jana mzee Makamba na Kinana kumburuza mwanaharakati huru Cyprian Musiba mbele ya Baraza la wazee wa CCM, leo club ya Simba ikiongozwa na tajiri MO imemburuza mzalendo anayelinda jengo la HQ la Simba lisiwekwe rehani......mbele ya kamati ya maadili ya TFF.

Go Kilomoni go.....wewe ni mzalendo usiyetishwa!
Maendeleo hayana vyama,
Huyu Kilomoni ye Simba ni ya kwake?
 
Kwani mwenye hati nani? Alafu mzee mzałendo alishasema yeýe ana hati ýa sunderland, nyie simba tafuten hati yenu mumpe Mo
Sunderland imeanzishwa lini?
Na huyu Mzee kazaliwa lini?
 
Back
Top Bottom