Tittle deed inasomeka SunderlandSunderland ina shiriki ligi ya nchi gani?
Manara yupo Upande wa kwa mwenye Pesa. Mo
Ni pandikizi la kwasu kwasu.Kilomoni ni nani?
πππManara hawezi kuwa upande wa wenye Tecno za elfu sabini. Amekosa kabisa ana simu ya million moja
Akae upande wa Kilomoni afe njaa?Sijamsikia manara akibwabwaja! Au nae yuko upande wa mzalendo kimya kimya!
Tittle deed inasomeka Sunderland
Amepekekwa TFF kwa kuwa anapotosha yeye ni mdhamini wakati sio,kumbuka kilomoni ni mwanachama wa simbaSimba mnajichanganya wenyewe,maana mara mnasema mzee Kilomoni mmeshamfuta uanachama na tayari mmeprocess hati nyingine, sasa mnampelekaje Tifua Tifua mtu ambaye si mwanachama wenu,au ni nini kinawasumbua hadi kuhangaika na huyu mzee?
Nadhani uongozi wa Simba unawadanganya wanachama kuna jambo mzee kawashika pabaya.