MO afuata nyayo za Makamba na Kinana ampeleka mzalendo Kilomoni kamati ya maadili TFF

Naona vyura mpo kwenye maji ya moto mnapokezana voko tu!
 
Acha kumjaza mwenzio ujinga kilomoni hana jipya yy pekee yake ndo anapinga manado wanamsimbazi hatuko kurudi tulikotoka
 
Simba mnajichanganya wenyewe,maana mara mnasema mzee Kilomoni mmeshamfuta uanachama na tayari mmeprocess hati nyingine, sasa mnampelekaje Tifua Tifua mtu ambaye si mwanachama wenu,au ni nini kinawasumbua hadi kuhangaika na huyu mzee?

Nadhani uongozi wa Simba unawadanganya wanachama kuna jambo mzee kawashika pabaya.
 
Amepekekwa TFF kwa kuwa anapotosha yeye ni mdhamini wakati sio,kumbuka kilomoni ni mwanachama wa simba
 
Back
Top Bottom