Mo afukuzwe uanachama wa Simba SC

Amefaidika na nini?
kwahy ww unaamini miaka yote hiyo afaidiki? kwanza ayo matangazo yake tu yanamlipa sana jezi inatoka imejaaa matangazo yake had kwanye makario still wachezaji wanabebeshwa ndoo za sabuni kutangaza brand yake aache makasirko koz simba ilikuwepo na itazidi kuwepo yeye nani bhana
 
Hujui matangazo yote analipia?

Kafatilie ripoti ya mwaka huu utajua kuwa analipia.

Kumbuka kila msimu mnaenda chukua kwake zaidi ya bilioni 3.5 za mkopo kuendesha timu (fatilia ripoti ya mwaka huu)

Kila mwaka lazima awakopeshe zaidi ya bilioni 2
 
Mwamedi anataka mumuabudu na anajua saizi ni kipindi Cha usajili lazima mkamlilie 😀😀
 
Ndio maana anapenda sna kumsumbua na manaar Ni kwamab anapenda HV vitu
 
Anawekaje 20B za 49% wakati upande wa wanachama ambao ni major shareholders hawajakamilisha za kwao? Aweke 20B wazitafune?
Ndio aziwazilishe ndio utaratibu ulivyo

Haya matamshi yake yanaadhiri klabu hii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…