Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kwahy ww unaamini miaka yote hiyo afaidiki? kwanza ayo matangazo yake tu yanamlipa sana jezi inatoka imejaaa matangazo yake had kwanye makario still wachezaji wanabebeshwa ndoo za sabuni kutangaza brand yake aache makasirko koz simba ilikuwepo na itazidi kuwepo yeye nani bhanaAmefaidika na nini?
Nibtapeli huyoYaani mtu anawadai eti mmfukuze, mlipeni pesa zake asepe
tajiri n mjanja mjanjaa labda tusubiri kingwangala aje amjibu maana jamaa anahoja za msingi kuusu uwekezaji wa kanjibahAnawekaje 20B za 49% wakati upande wa wanachama ambao ni major shareholders hawajakamilisha za kwao? Aweke 20B wazitafune?
Hujui matangazo yote analipia?kwahy ww unaamini miaka yote hiyo afaidiki? kwanza ayo matangazo yake tu yanamlipa sana jezi inatoka imejaaa matangazo yake had kwanye makario still wachezaji wanabebeshwa ndoo za sabuni kutangaza brand yake aache makasirko koz simba ilikuwepo na itazidi kuwepo yeye nani bhana
Amewahi kukutapeli kitu gani?Nibtapeli huyo
Hkn tunaazimia kumfukuzaa leo kutakuwa na kikao kizito jioni kumtimuaBadala ya kufikiria kumfukuza uanachama mimi nadhani mngejitahidi muwezavyo kumridhisha Muhindi.
Anadeka sanaIla simba mo mnamdekeza kama last born
Tufanye maazimio hapa hapa na baadae kutakuwa na kikao Cha kumfuta kbsaa [emoji3]Tena atupiwe kabisa na vilago vyake nje![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ndio maana anapenda sna kumsumbua na manaar Ni kwamab anapenda HV vituinshort tajiri anapenda kutrend once akikaa kipindi kirefu bila kuzungumziwa analipua kitu but siyo sahihi sana kuexpose mambo yake twitter why anashindwa kuongea na wahusika pamoja na viongozi wa club kuwa nini tatizo instead ya kuja twitter kulialia kila wakati
anapenda kukaangwa
Na wanajua kumdekeza sanaAnadeka sana
Ndio aziwazilishe ndio utaratibu ulivyoAnawekaje 20B za 49% wakati upande wa wanachama ambao ni major shareholders hawajakamilisha za kwao? Aweke 20B wazitafune?
malalamiko mengi as if again chochote kwenye clubNdio maana anapenda sna kumsumbua na manaar Ni kwamab anapenda HV vitu
Anawageuza geuza kama chapatiNa wanajua kumdekeza sana
anawasilishaje wakati anakwambia hadi saizi ameshatumia B 85Ndio aziwazilishe ndio utaratibu ulivyo
Haya matamshi yake yanaadhiri klabu hii
Tapeli yuleAmewahi kukutapeli kitu gani?
Wamfukuze huyo mzee wamchukue vunja bei awe mwekezajiAnawageuza geuza kama chapati