Mo afukuzwe uanachama wa Simba SC

Siasa zinaharbu mpira wetu toka hawa jmaa waanze mazungumzo na george mpole ni km kuna watu wakaona hao ndgu zetu wakijua kuhusu hili tumekwisha. hebu tutafute msaada ktka hili wakarudi kw wakubwa zao wamtekenye staringi wetu wa kihindi mbona sisi hatuna shida si ni usajili
 
Wanasimba Wanapumbazwa na wale wanompinga Mo nao Wanajaa

Hayo hayo yaliyokea kwa Yanga kipindi Cha Manji kilicho fuata kila mtu ni Shahidi.

Simba Zinategemea mapato yake katika sehemu Tano.

1. Viingilio vya Mechi

2. Mauzo ya Haki miliki kwa Azam

3. Mauzo Ya Jezi.

4. Udhamini wa Hizi Kampuni ndogo ndogo

5. Mashabiki

Ukijumlisha hivi vyote mapato yake hayatoshi hata kulipa mishahara wachezaji Kwa mwaka mzima.

Simba Ikisafiri kwenda Mkoa itatumia average millioni 100-120 , There is NO WAY MASHABIKI WA SIMBA MWENYE AKILI TIMAMU AKASEMA HAMUHITAJI “MO”

Hawa akina Chama hutawasikia, Akina Akram Onana na Wengine tutawasikia kwenye Bomba.

Swali la Msingi simba Wajiulize Muwekezaji yuko tayari kwanini mchakato haukamiliki? Nani Yupo Nyuma ya Hili.

Akiondoka Mo, Tajiri Gani atafanya kama yeye kwa Marajiri tulio nao Tanzania?
 
Tajiri anuniwi
Ttzo lenu wabongo hampendi kuambiwa ukwel na wengne unaleta midomo wakat ata ya chakula ya timu kwa sku moja huwezi lipia
Ata ukiambia mlipe mshahara wa chama kwa miez 2 tu hamuwezi lipa ila nyie ndo wakwaza kunyanyua matako yenu

Tujifunze kueshimi na kukubali aliekuzidi kakuzidi na tujifunze kuheshimu maneno ya mtoa pesa sabu yeye ndo anajua
 
Watu ambao mikono yao inatetemeka kila wakati huwa wana shida sana
 
Anawekaje 20B za 49% wakati upande wa wanachama ambao ni major shareholders hawajakamilisha za kwao? Aweke 20B wazitafune?
Upande wa wanachama wakamilishe za kwao zipi!? Yaani wewe uombe sehemu ya kiwanja changu kwaajili ya mradi tutaoshirikiana mimi nikitoa kiwanja wewe ukaweka hela si ndo tunakuwa tumeshare? Wanachama wametoa hisa zao 49% ambazo Mo kazinunua kwa 2oB sasa ulitaka wanachama watoe nini kingine!?
 
Anawekaje 20B za 49% wakati upande wa wanachama ambao ni major shareholders hawajakamilisha za kwao? Aweke 20B wazitafune?
hivi akiweka hiyo 49 wao mashabiki wataweka 21B au ndo wao wanaweka timuu 😀 😀 😀 😀
 
Wewe ni shabiki wa Simba? Akiondoka MO, babaako ana uwezo wa kuidhamini Simba?
 
WENYE AKILI tulimkataa KITAMBO. Zz

Hata BILIONI 20 Hadi Leo hajatoa.

Huu usajili ni BILIONI 5 ZA SUPER CUP.
BILIONI 2 CAFCL.
MBET.
SANDALAND NK....

SIMBA INA ALMOST 10 BILION
ASITUSUMBUE HUYO MTU.
Hazipo kwenye A/C ya koloz. Zimeingia kwenye akaunt yake
 
Mo mpaka anavimba hivi ni dhahiri anaamini Simba haiwezi kutoboa bila yeye.

Lah, ana skendo anaikwepa.
 
Huu sio mfano halisi kwenye hii issue. Mo ana mapungufu yake ila kuna sehemu yuko sahihi. Hakuna Muwekezaji anayeweka pesa yake sehemu isiyo na mfumo mzuri. Hivi mpaka sasa mnajua thamani ya Simba ni kiasi gani? Na unaposema asilimia 51% ya shares ziko mikononi mwa wanachama unazungumzia wanachama wepi? Je mnawajua kwa majina na namba zao za usajili? Na wanachangia kiasi gani kwa mwaka kuiwezesha timu?
 
HV akili zako zimefungwa kwamb bila mo haitafika mafanikio yoyote
 
Wewe ni shabiki wa Simba? Akiondoka MO, babaako ana uwezo wa kuidhamini Simba?
Siyo Bab angu Wala mam angu ataweza kudhamini

Wako wafuatao watao weza kudhamini Simba

1 Azam media haki za matangazo wanaipa Simba 3 billion
2Mauzo ya jesi 2 bilion
3 Viingilion tu 3 billion msimu mzima
4 spot pesa 2 billion
5 caf cl group stage 4 billion

HV hyo timu imeshindwa VIP kujiendesha yanga peasa anazo toa gsm Ni kiduchu ila wadhamin wenza wanatoa peaa za maaana tu na timu inazongaa snaa
 
Ahahahahaha! Wenzako wengi na mawazo kama hayo, na inaonesha man upeo mdogo wa uwekezaji na uendeshaji wa taasisi!

Mimi nawapa changamoto, mfukuzeni MO tuone!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…