These is to much! kwa mwekezaji wa Aina hi kila wakat kuwatisha watu as if kwamba bila yeye Simba haitofika mbali ,huu Ni ujinga na upumbafu kuendelea kumbembeleza moo na kumuona mungu mtu ,kila kukicha anatoa maneno yenye utata na yanaweza kuadhiri mipango na maendeleo ya club .
Simba sc waigeni yanga jinsi inavyo endeshwa timu Ina wadhamini wa maana sport pesa tu yenyewe na heir inaipa yanga pesa ndefu Bado za Azam, GSM mbona yanga wanasonga bila maneno kutoka kwa mdhamini wake mkuu.
Moo aondeshwe simba sc Mara moja Ni waekezaji wengi wanaitaka hii club Ni ujinga kuendelea kumbembeleza Mo.
Mara nimechoka Mara neema inakuja Mara napata hasara Mara ningenunua ndege yangu binafs Kama hapati kitu s aachie wengine waje.
Nawaza tu Hawa wafanyakazi walio ajiriwa katk kampuni na viwanda vyake Hapa Hali zao za uchumi iko vipi?
Kam tajiri mwenywe ndio huu.