Alfan issa
JF-Expert Member
- Dec 26, 2015
- 2,281
- 893
Leonardo Di Caprio Quote kwenye The wolf of wallstreet Movie''Wewe hutakufa? Inferiority complex, masikini bana wana maneno ya kujipa moyo
Maajabu sana nakati waliolitengeneza ni hao hao Watu?Kwa hiyo akimiliki gari hili hatekwi?
Mawatu hayajui katika maisha yetu ni Mungu ndiye mlinzi namba 1 kwa uhai wetu nakati hata kule kwenye nchi zilizopo dunia ya kwanza bado tu Watu hutekwa hadi leo hii pa1 na kuwa na teknolojia ya juu kuliko hata sisi Afrika.Mtekaji ni mtekaji tu
Samahani!. Gari yako iko wapi???? 🏃 🏃woiiiii iyo picha aliipost instagram account yake ,alafu tesla model 3 haipo hata top 100 ya secured car ....nikadhani utaongelea security customized za gari ila umeongea hamna engine ,halitoi sauti na camera ambayo hata simu ya elfu 25 Inayo camera ..... itazuia nini labda
Wasiojulikana hawapigwi mkwara mbuzi kama huo!
Hahaha ...Ala kumbe. Tunatunga Sheria Sasa hivi kwamba hiyo gari inaingilia privacy za raia wengine kurekodiwa bila ridhaa yao.