MO amenunua gari inayoaminika kuwa na mfumo mkubwa wa ulinzi wa kidigitali

MO amenunua gari inayoaminika kuwa na mfumo mkubwa wa ulinzi wa kidigitali

Wewe hutakufa? Inferiority complex, masikini bana wana maneno ya kujipa moyo
Leonardo Di Caprio Quote kwenye The wolf of wallstreet Movie''

There is no nobility in poverty. I’ve been a rich man, and I’ve been poor man. And I choose rich every fucking time. Cause, At least as a rich man, when I have to face my problems, I show up in the back of a limo wearing a $2000 suit …and $40,000 gold fuckin’ watch!
Now, if anyone here thinks I’m superficial or materialistic. Go get a job at fucking McDonald’s, because that’s where you fucking belong!
............................Naishi na maneno hayo ..huwa yananipa sana nguvu...
Napigilia msumari wote tutakufa lakini Kufa masikini ni kujitakia na ni dhambi...
 
Tatizo hao watekaji wanateka mtu akiwa gym siyo kwenye gari
 
sidhani kama kanunua ajili ya utekwaji,nadhani kaenda na fashion tu inayotrend hivi sasa ya kuendesha Autonomous driving car na inayotumia umeme,ingekuwa ni kwa ajili ya security angenunua yenye pia bulletproof plate na haingekuwa bei cheap hivyo
 
woiiiii iyo picha aliipost instagram account yake ,alafu tesla model 3 haipo hata top 100 ya secured car ....nikadhani utaongelea security customized za gari ila umeongea hamna engine ,halitoi sauti na camera ambayo hata simu ya elfu 25 Inayo camera ..... itazuia nini labda
Samahani!. Gari yako iko wapi???? 🏃 🏃
 
Mbona hiyo gari ina sifa nyingi sana ambazo haziendani na bei yake!?, kwa mtu kama Mo kununua gari ya dollar 30,000/= naona ni kawaida sana pia hakupaswa hata kuanzishiwa uzi.
 
Wasiojulikana hawapigwi mkwara mbuzi kama huo!

Hivi Siro anasemaje kuhusu upelelezi wa wale waliomteka Mo? Bado unaendelea na je yule taxi driver anaesemekana aliwatafutia nyumba na kuwaendesha baada ya kumshusha Mo amefikishwa mahajamani?
 
Congratulation kwa Mo,boss wetu Msimbazi,Simba imeitengeneza Christmas iwe nzuri bila bugudha yoyote,karibuni kesho tuile
 
Hilo kanunua kujiridhi nafsi yake tu....watekaji anawajua vizuri...
Hakutekwa ndani ya gari..na wakimtaka wanampata tu..maana haishi ndani ya hiyo garj ...
 
Kwa kweli mpaka sasa hii ndio safest car duniani.
Lakini kwenye kuibiwa ni rahisi sana na inamchukua mtu 2 sec kuipitia
Nimependa autopilot tu maana hata kubadili lane inabadili na kuipisha gari nyingine tofauti na Volvo ambayo nilijaribu autopilot yake lakini ikianza kukaribia msongamano wa magari inakuambia shika usukani.
 
Back
Top Bottom