Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bado mchakato wa Yanga kuwa kampuni kumilikiwa kwa hisa HaujakamilikaNaomba kujua wakuu,Simba wamebainisha Mo ana 49% Simba ,GSM ana ngapi Yanga au anasaidia tu kama alivyosema mwaka juzi kuchukua hisa ni unyonyaji.
Kwa hiyo kwa sasa anaicontrol Yanga kwa kutoa 'msaada' tu. Maana Hersi ni zao la GSMBado mchakato wa Yanga kuwa kampuni kumilikiwa kwa hisa Haujakamilika
Lakini yote kwa yote nijuavyo WANACHAMA 51% MWEKEZAJI 49%
GSM 0%Naomba kujua wakuu,Simba wamebainisha Mo ana 49% Simba ,GSM ana ngapi Yanga au anasaidia tu kama alivyosema mwaka juzi kuchukua hisa ni unyonyaji.
Sikatai ila kuna namna anaisaidia timu kwenye sehemu mbalimbali, tunakoelekea huko akija kufadhili klabu na kupata hisa 49% NANI atakataa?Kwa hiyo kwa sasa anaicontrol Yanga kwa kutoa 'msaada' tu.Maana Hersi ni zao la GSM
Unakubali kuwa pamoja na kwamba hana hisa lakini ndiye mtu pekee mwenye sauti na nguvu ya maamuzi pale Yanga kushinda mtu yoyote?Sikatai ila kuna namna anaisaidia timu kwenye sehemu mbalimbali, tunakoelekea huko akija kufadhili klabu na kupata hisa 49% NANI atakataa?
HAPANA SIKUBALIUnakubali kuwa pamoja na kwamba hana hisa lakini ndiye mtu pekee mwenye sauti na nguvu ya maamuzi pale Yanga kushinda mtu yoyote?
Ungemalizia mwekezaji kaweka bil 20, huku mdhamini akiidhamini timu kwa bil 26.1 kwa misimu mitano.Naomba kujua wakuu,Simba wamebainisha Mo ana 49% Simba ,GSM ana ngapi Yanga au anasaidia tu kama alivyosema mwaka juzi kuchukua hisa ni unyonyaji.
Lakini unakubali kuwa Hersi ndiye kiongozi wa juu kabisa katika maamuzi pale Yanga kwa sasa?HAPANA SIKUBALI
Mkuu twende nao taratibu wataingia tu kwenye 18 zetu, ni ngumu sana kuukataa ukweli ambao upo wazi. GSM na genge lake kwa sasa ndiyo wanaicontrol Yanga.Bila kupepesa kwa sasa Gsm anamiliki Yanga kwa asilimia zaidi ya 80 though wananchi watanitusi ila huo ndo ukweli hata kama hakuna maandishi ya umiliki huo.
Sikubaliani kwa asilimia zote hata kama ni Rais wa timu, sio maamuzi mengine anaamua yeye na ndio maana kuna EXCOMLakini unakubali kuwa Hersi ndiye kiongozi wa juu kabisa katika maamuzi pale Yanga kwa sasa?
Hiyo EXCOM inaundwa na kina nani? Una uhakika hao wote hawajawekwa hapo kwa nguvu ya GSM?Sikubaliani kwa asilimia zote hata kama ni Rais wa timu, sio maamuzi mengine anaamua yeye na ndio maana kuna EXCOM
EXCOM inaundwa na wanachama wa kuchaguliwa na hata kuteuliwa na Mwenyekiti/RaisHiyo EXCOM inaundwa na kina nani? Una uhakika hao wote hawajawekwa hapo kwa nguvu ya GSM?
Utofauti wa GSM na MO ni kuwa mmoja ni mshabiki na mwenye mapenxi na timu wakati huyu mwingine ni mfanya biashara na yuko hapo ili kujiimarisha vizuri kiuchumi hana mapenzi na club.Tofauti iliyopo GSM anaushawishi mkubwa ila ajaimiliki Yanga, MO sio tu anaushawishi ila Simba anaimiliki Kwa asilimia 49. Kwa maana Simba ni Moja ya bidhaa anazo miliki kama ilivyo MO extra na bidhaa zake nyingine.
Wewe mapenzi ya mtu unayajuaje?Utofauti wa GSM na MO ni kuwa mmoja ni mshabiki na mwenye mapenxi na timu wakati huyu mwingine ni mfanya biashara na yuko hapo ili kujiimarisha vizuri kiuchumi hana mapenzi na club.
Unamlinganisha GSM na takataka!