Mo ana hisa 49% Simba, Je GSM wana ngapi?

Dabil

JF-Expert Member
Joined
Sep 30, 2021
Posts
6,823
Reaction score
15,293
Naomba kujua wakuu, Simba wamebainisha Mo ana 49% Simba, GSM ana ngapi Yanga au anasaidia tu kama alivyosema mwaka juzi, kuchukua hisa ni unyonyaji.
 
Naomba kujua wakuu,Simba wamebainisha Mo ana 49% Simba ,GSM ana ngapi Yanga au anasaidia tu kama alivyosema mwaka juzi kuchukua hisa ni unyonyaji.
Bado mchakato wa Yanga kuwa kampuni kumilikiwa kwa hisa Haujakamilika

Lakini yote kwa yote nijuavyo WANACHAMA 51% MWEKEZAJI 49%
 
Kwa hiyo kwa sasa anaicontrol Yanga kwa kutoa 'msaada' tu. Maana Hersi ni zao la GSM
 
Kwa hiyo kwa sasa anaicontrol Yanga kwa kutoa 'msaada' tu.Maana Hersi ni zao la GSM
Sikatai ila kuna namna anaisaidia timu kwenye sehemu mbalimbali, tunakoelekea huko akija kufadhili klabu na kupata hisa 49% NANI atakataa?
 
Unakubali kuwa pamoja na kwamba hana hisa lakini ndiye mtu pekee mwenye sauti na nguvu ya maamuzi pale Yanga kushinda mtu yoyote?
 
Naomba kujua wakuu,Simba wamebainisha Mo ana 49% Simba ,GSM ana ngapi Yanga au anasaidia tu kama alivyosema mwaka juzi kuchukua hisa ni unyonyaji.
Ungemalizia mwekezaji kaweka bil 20, huku mdhamini akiidhamini timu kwa bil 26.1 kwa misimu mitano.

Ngoja tukae kimya ila kama kawaida inaitwa kikwetu kwetu.
 
Bila kupepesa kwa sasa Gsm anamiliki Yanga kwa asilimia zaidi ya 80 though wananchi watanitusi ila huo ndo ukweli hata kama hakuna maandishi ya umiliki huo.
 
Mkuu twende nao taratibu wataingia tu kwenye 18 zetu, ni ngumu sana kuukataa ukweli ambao upo wazi. GSM na genge lake kwa sasa ndiyo wanaicontrol Yanga.
 
Lakini unakubali kuwa Hersi ndiye kiongozi wa juu kabisa katika maamuzi pale Yanga kwa sasa?
Sikubaliani kwa asilimia zote hata kama ni Rais wa timu, sio maamuzi mengine anaamua yeye na ndio maana kuna EXCOM
 
Hiyo EXCOM inaundwa na kina nani? Una uhakika hao wote hawajawekwa hapo kwa nguvu ya GSM?
 
EXCOM inaundwa na wanachama wa kuchaguliwa na hata kuteuliwa na Mwenyekiti/Rais

Hapo kwenye nguvu ya GSM sina uhakika kwa maana siwezi kuthibitisha
 
Tofauti iliyopo GSM anaushawishi mkubwa ila ajaimiliki Yanga, MO sio tu anaushawishi ila Simba anaimiliki Kwa asilimia 49. Kwa maana Simba ni Moja ya bidhaa anazo miliki kama ilivyo MO extra na bidhaa zake nyingine.
 
Utofauti wa GSM na MO ni kuwa mmoja ni mshabiki na mwenye mapenxi na timu wakati huyu mwingine ni mfanya biashara na yuko hapo ili kujiimarisha vizuri kiuchumi hana mapenzi na club.
 
Back
Top Bottom