Mtanzanias
JF-Expert Member
- Jul 30, 2021
- 1,747
- 3,725
GSM anasaidia kama alivyokuwa anawasaidia Mo, Zoezi la transformation likikamilika Kama atataka kununua hisa atakaribishwa, kumbuka yanga inahitaji wawekezaji zaidi ya mmoja na wasiopungua 4, hicho kitu kiweke kichwani mwako, hivyo ni tofauti na kwenu mnakomuabudu mtu mmoja ndo maana anawapanda kichwani inategemea ameamkaje siku hiyoNaomba kujua wakuu,Simba wamebainisha Mo ana 49% Simba ,GSM ana ngapi Yanga au anasaidia tu kama alivyosema mwaka juzi kuchukua hisa ni unyonyaji.
Sikiliza ndugu,kwa sasa yanga ndio wanajenga prospectus yaani kabrasha la thamani ya hisa,ukiwa tayari ndipo hisa zitatangazwa ambapo wawekezaji watatu wataweza kununua husa 49 na wanachama watakuwa na hisa 51 sasa wakati huo ndio uulize kwa sasa bado mfumo unajengwaNaomba kujua wakuu, Simba wamebainisha Mo ana 49% Simba, GSM ana ngapi Yanga au anasaidia tu kama alivyosema mwaka juzi, kuchukua hisa ni unyonyaji.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] huwaa unajuaga unachozungumza lakini??Sikatai ila kuna namna anaisaidia timu kwenye sehemu mbalimbali, tunakoelekea huko akija kufadhili klabu na kupata hisa 49% NANI atakataa?
GSM ana hisa % ngapi, toa jibu, mbna unaruka ruka km popcorn jikoni????Ungemalizia mwekezaji kaweka bil 20, huku mdhamini akiidhamini timu kwa bil 26.1 kwa misimu mitano.
Ngoja tukae kimya ila kama kawaida inaitwa kikwetu kwetu.
Hana hisa ,ila duniani umeona wapi mdhamini kamzidi dau mwekezaji ?GSM ana hisa % ngapi, toa jibu, mbna unaruka ruka km popcorn jikoni????
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kabisaaaah, tena utulie na uache kulia lia. Sisi ndo tunaoanza. Wengine watafuatia.Hana hisa ,ila duniani umeona wapi mdhamini kamzidi dau mwekezaji ?
Ila si shangai manake nyie mnadai wenyewe kila kitu nyie ndio wa kwanza...........
Duuu.....Kabisaaaah, tena utulie na uache kulia lia. Sisi ndo tunaoanza. Wengine watafuatia.
Upooo nyonyo?? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Duuu.....
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] so what???I Am Responsible For What I Say, Not What You Understand
Pambana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] so what???