Mtanzanias
JF-Expert Member
- Jul 30, 2021
- 1,747
- 3,725
GSM anasaidia kama alivyokuwa anawasaidia Mo, Zoezi la transformation likikamilika Kama atataka kununua hisa atakaribishwa, kumbuka yanga inahitaji wawekezaji zaidi ya mmoja na wasiopungua 4, hicho kitu kiweke kichwani mwako, hivyo ni tofauti na kwenu mnakomuabudu mtu mmoja ndo maana anawapanda kichwani inategemea ameamkaje siku hiyoNaomba kujua wakuu,Simba wamebainisha Mo ana 49% Simba ,GSM ana ngapi Yanga au anasaidia tu kama alivyosema mwaka juzi kuchukua hisa ni unyonyaji.