Mo anacheza na akili za wajinga wasiojitambua?

Mo anacheza na akili za wajinga wasiojitambua?

Tukiita wenye marinda wewe utatoka? Wewe demu bwege wewe
Watu wa Dar mmeharibiwa sana na ndiyo maana hata akili zenu haziwezi kuruka juu kuzidi makalio.
Ufanywacho wewe kwa uchawa wako usidhani watu wenye akili timamu wako hivyo.
Hiyo hata kuiongelea tu ni aibu ila kwako kwa vile umezoea huoni shida kujiaibisha hapa

Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app
 
Tuliza kalio wewe mbwiga hakuna chawa wa mtu hapa umelisikia hilo neno la chawa kwa mara ya kwanza basi unalitumia tu ovyo hata pasipo husika mshamba mmoja wewe.
 
Je, kuna umuhimu wa kuuliza mashabiki wapige kura iwapo Simba inahitaji kocha tena kwenye mtandao?

Je, ana uhakika gani waliopiga kura ni wana Simba?Unadhani leo akatokea mjinga mmoja pale utopolo tuseme rais wa timu atangaze kura kuuliza iwapo yanga inahitaji kocha mpya unadhani asilimia ngapi ya mashabiki wa yanga watapiga kukubali ama kukataa?Je huoni watakaopiga kura ya kumkataa ni mashabiki wa Simba? Na unaweza kushangaa kuwa asilimia zaidi ya 60% wakamkataa Nabi lakini wote hao wakawa mashabiki wa Simba?

Mimi nilivyoona sikupiga kura kwani ni upuuzi na siwezi kufanya hivyo kwa kuwa najua tatizo la Simba sio kocha bali ni wachezaji.

Timu inahitaji wachezaji wakubwa na huo ni ukweli ulio wazi,lakini wewe unajaribu kukwepa kusajili badala yake unataka kutuletea makocha wako wapumbavu wa kizungu waanze upya na timu jambo ambalo ndilo hatari sana kwa sasa.

Kama kuna shabiki wa Simba anadhani tatizo tulilo nalo Simba ni mwalimu,na anadhani akileta mwalimu mzungu basi Kibu atakuwa Mbape basi nitaamini magonjwa ya akili sasa yamefikia kiwango cha juu mno hapa nchini.

Mo kama timu imemshinda awaachie wengine aache janja ya nyani kula hindi bichi

Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app

Sent from my Infinix X626 using
 
Nitapiga kura Mgunda wetu abaki ila anunuliwe Jeans nyeusi
 
Watu wa Dar mmeharibiwa sana na ndiyo maana hata akili zenu haziwezi kuruka juu kuzidi makalio.
Ufanywacho wewe kwa uchawa wako usidhani watu wenye akili timamu wako hivyo.
Hiyo hata kuiongelea tu ni aibu ila kwako kwa vile umezoea huoni shida kujiaibisha hapa

Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app
Kwenye Umbumbumbu wenu wakutapeliwa na Mwamedi usiwahusishe watu wote wa Dar tafadhali.
 
Kama hujui Leo nakuomba ujue ivi njaa yako Ni fursa kwa mtu kumeki a living,furaha na Raha yako Ni fursa, hasira,tamaa,ujinga,uvivu wa binadamuni fursa za watu kumeki mane, ugonjwa ama afya yako Ni fursa kwa watu kumeki mane.

Tamaa ,hofu,Imani zako zote hizo Ni fursa za watu wajanja walioko juu ya akili ya kawaida kumeki mane.

Basi nadhani utakuwa umeelewa
 
Mbinu gani na unauliza watu wa yanga wakuamulie nini cha kufanya?
Unatumia kigezo gani kujua aliyepiga kura ni mwanasimba?
Ninyi ndio wasomi mliojaa kamasi kichwani kwa sababu ya kukariri na kupata degree za chupi kisha mnakuja hapa na kujiona mnajua sana

Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app
Itakuwa mama yako alikubana na mapaja wakati anajifungua siyo bure. Kuna sehemu nimesema nina degree.?
 
Back
Top Bottom