technically
JF-Expert Member
- Jul 3, 2016
- 12,706
- 52,355
MALINZI ALIKUWA WENU !! NI YANGA YULESimba hasa Mo na Manara wawe makini takukuru wapo kazini maswala ya kuonga waamuzi muache tuna mchongo wote wa kuhonga mechi. Acheni iyo tabia chezeni mpira uonekane. takukuru itawashughulikia mmesahau ya Malinzi.?
Kiukweli Mimi ni Yanga damu ila kwa matokeo na mchezo wa Leo nimefurahi sanaa. Nimepata nguvu ya kuwakomesha mikia na kuwakumbusha kwamba Upepo wao umekata jahaz lao linametoboka bila msaada wa refa linazama.Sijawai kuona Simba inashinda kisha mashabiki wake wakawa wanyonge kama Leo. IPO siku tutaongea lugha moja tu.
Simba hasa Mo na Manara wawe makini takukuru wapo kazini maswala ya kuonga waamuzi muache tuna mchongo wote wa kuhonga mechi. Acheni iyo tabia chezeni mpira uonekane. takukuru itawashughulikia mmesahau ya Malinzi.?
Peleka ushahidi TAKUKURUSimba hasa Mo na Manara wawe makini takukuru wapo kazini maswala ya kuonga waamuzi muache tuna mchongo wote wa kuhonga mechi. Acheni iyo tabia chezeni mpira uonekane. takukuru itawashughulikia mmesahau ya Malinzi.?
Hembu nikumbushe maamuzi yaliyowabeba mikia na mie niwanange kwenye group laosimba wanabebwa mpaka inatia kinyaa, upuuzi mtupu
Mwaka wa tatu huu mipango ni saba sasa umeanza kulalamika mapema namba hii ,hata Liverpool analalamikiwa anabebwa kwanini isiwe Simba,Barcelona kwenye ubora wake walisema wanabebwa,uefa Real Madrid wanasema wanabebwa ,ingekuwa Tanzania wangesema wananunua tumezoea MFA maji haishi kutapatapa .Simba Nguvu mojaSimba hasa Mo na Manara wawe makini takukuru wapo kazini maswala ya kuonga waamuzi muache tuna mchongo wote wa kuhonga mechi. Acheni iyo tabia chezeni mpira uonekane. takukuru itawashughulikia mmesahau ya Malinzi.?
Amini nakwambia sio njaa Wala kuhongwa hawajui tu kuchezesha mpira. Makosa Kama hayo kila mechi wanayafanya.Soka la Tanzania kwasasa lina dharilishwa ba njaa ya waamuzi. Mechi mfululizo simba ina nufaika na maamuzi mabovu ya waamuzi. Ivi inakuaje marefa wanakosea upande mmoja tu?
Sent using Jamii Forums mobile app