Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu usiwe kama wakike kwani huko CAF si tumeenda na tumefika robo fainali usiwe kama wakike kwani match za yanga marefa huwa hawafanyi makosa?Kwa maamuzi mabovu yanayofanywa na waamuzi yatupasa kujadili hiki kitu bila ushabiki.Ila kumbukeni Simba hata anaenda kucheza mechi za kimtataifa (CAF)huko ni mpira tu hakuna rushwa msije kuaibisha taifa tena.
Mkuu usiwe kama wakike kwani huko CAF si tumeenda na tumefika robo fainali usiwe kama wakike kwani match za yanga marefa huwa hawafanyi makosa?
Yanga mara ya mwisho imecheza mechi lini ya VPL licha ya kuwa na viporo?Soka la Tanzania kwasasa lina dharilishwa ba njaa ya waamuzi. Mechi mfululizo simba ina nufaika na maamuzi mabovu ya waamuzi. Ivi inakuaje marefa wanakosea upande mmoja tu?
Sent using Jamii Forums mobile app
Simba hasa Mo na Manara wawe makini takukuru wapo kazini maswala ya kuonga waamuzi muache tuna mchongo wote wa kuhonga mechi. Acheni iyo tabia chezeni mpira uonekane. takukuru itawashughulikia mmesahau ya Malinzi.?
Yanga mara ya mwisho imecheza mechi lini ya VPL licha ya kuwa na viporo?
Umeona ama kusikia kuna club inalalamika?
wakati wa Malinzi Yanga ilikuwa haifungwi?Mikia nyie hamfungwi....Yanga alinyang"anywa points tatu Azam akawa bingwa..sasa ile kampa kampa tena nani wa kuizuiaMALINZI ALIKUWA WENU !! NI YANGA YULE
Simba sc msimu uliopita ilikuwa inacheza mechi kila baada ya saa 48 na muda mwingine chini ya hapo na ilishinda mechi kibao nadhani ilipoteza moja tu.Mkuu hapa ni mbinu ya bodi ya ligi ili yanga iwe na viporo vingi huko mbeleni wafululize mechi ili wapoteze na Simba atwae ubingwa kirahisi.
Simba hasa Mo na Manara wawe makini takukuru wapo kazini maswala ya kuonga waamuzi muache tuna mchongo wote wa kuhonga mechi. Acheni iyo tabia chezeni mpira uonekane. takukuru itawashughulikia mmesahau ya Malinzi.?
YANGA WANAPOKUJA NA PROPOGANDA, UZUSHI NA MBINU ZA KIZAMANI.Simba hasa Mo na Manara wawe makini takukuru wapo kazini maswala ya kuonga waamuzi muache tuna mchongo wote wa kuhonga mechi. Acheni iyo tabia chezeni mpira uonekane. takukuru itawashughulikia mmesahau ya Malinzi.?