Mo anahonga waamuzi

Kwa maamuzi mabovu yanayofanywa na waamuzi yatupasa kujadili hiki kitu bila ushabiki.Ila kumbukeni Simba hata anaenda kucheza mechi za kimtataifa (CAF)huko ni mpira tu hakuna rushwa msije kuaibisha taifa tena.
 
Kazi ya TAKUKURU ni kuwaonea walimu, rushwa kubwa kubwa kama hizi wanazifumbia macho kama hawazioni vile...
 
niliwahi kuambiwa ya kuwa corruption is here to stay......
hahahahahhahaha
 
Kwa maamuzi mabovu yanayofanywa na waamuzi yatupasa kujadili hiki kitu bila ushabiki.Ila kumbukeni Simba hata anaenda kucheza mechi za kimtataifa (CAF)huko ni mpira tu hakuna rushwa msije kuaibisha taifa tena.
Mkuu usiwe kama wakike kwani huko CAF si tumeenda na tumefika robo fainali usiwe kama wakike kwani match za yanga marefa huwa hawafanyi makosa?
 
Mkuu usiwe kama wakike kwani huko CAF si tumeenda na tumefika robo fainali usiwe kama wakike kwani match za yanga marefa huwa hawafanyi makosa?


Kajifunze kuandika kwanza then urudi na akili ya kuattack point yangu na siyo kuniattack mimi.
 
Soka la Tanzania kwasasa lina dharilishwa ba njaa ya waamuzi. Mechi mfululizo simba ina nufaika na maamuzi mabovu ya waamuzi. Ivi inakuaje marefa wanakosea upande mmoja tu?

Sent using Jamii Forums mobile app
Yanga mara ya mwisho imecheza mechi lini ya VPL licha ya kuwa na viporo?
Umeona ama kusikia kuna club inalalamika?
 
Ni jambo la kushangaza sana yanayofanyika Simba wanapocheza marefa kujikausha kama hawaoni. Mechi ya Yanga na Simba, faulo ilifanyika nje ya kisanduku refa kasema penalt. Mechi ya Namungo n Simba, Kagere alikuwa offside refa kakausha. Tukumbuke mwaka jana marefa 4 walifungiwa sababu ya mechi za Simba, yaelekea mchezo huu wa rushwa umewanogea Simba na hawatauacha. Hatua zichukuliwe vinginevyo ligi itakosa mvuto.
Simba hasa Mo na Manara wawe makini takukuru wapo kazini maswala ya kuonga waamuzi muache tuna mchongo wote wa kuhonga mechi. Acheni iyo tabia chezeni mpira uonekane. takukuru itawashughulikia mmesahau ya Malinzi.?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yanga mara ya mwisho imecheza mechi lini ya VPL licha ya kuwa na viporo?
Umeona ama kusikia kuna club inalalamika?


Mkuu hapa ni mbinu ya bodi ya ligi ili yanga iwe na viporo vingi huko mbeleni wafululize mechi ili wapoteze na Simba atwae ubingwa kirahisi.
 
Rushwa imezidi sana kwenye mchezo wa soka hapa nchini. Kati ya maeneo ambayo TAKUKURU wanatakiwa wayaangalie ni ktk soka. Wachezaji wanapewa rushwa, waamuzi wanapokea rushwa, viongozi wa clubs pia
 
Mkuu hapa ni mbinu ya bodi ya ligi ili yanga iwe na viporo vingi huko mbeleni wafululize mechi ili wapoteze na Simba atwae ubingwa kirahisi.
Simba sc msimu uliopita ilikuwa inacheza mechi kila baada ya saa 48 na muda mwingine chini ya hapo na ilishinda mechi kibao nadhani ilipoteza moja tu.
Sasa hii isiwe excuse kwa yanga watakapoanza kucheza back to back maana April tuna CHAN
 
Wapenzi na mashabiki yanga ifkapo mechi ya simba mnataadharishwa mje na vipenga vyenu uwanjani
 
Unamsali mchezaji kama Yikpe (Mimi humuita Iyyope) afu utarajie ubingwa? Mchawi wa Yanga ni viongozi wenu wengine wamekuja kutafuta umaarufu wakagombee ubingwa si kuinufaisha Yanga

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Simba hasa Mo na Manara wawe makini takukuru wapo kazini maswala ya kuonga waamuzi muache tuna mchongo wote wa kuhonga mechi. Acheni iyo tabia chezeni mpira uonekane. takukuru itawashughulikia mmesahau ya Malinzi.?
YANGA WANAPOKUJA NA PROPOGANDA, UZUSHI NA MBINU ZA KIZAMANI.

Akizungumza na Moja ya Wahariri wazuri wa soka, Muhariri huyu ametanabaisha kuwa.


Yanga wameamua kupambana na Simba nje ya uwanja kuliko uwanjani. Na wameamua hawataki tena kuzungumzia ubora wa wachezaji au timu kwa ujumla.
Wanajificha kwenye kivuli kwamba Simba inabebwa au inatumia mbinu chafu kushinda mechi.
Na hili halifanyiki kwa bahati mbaya la hasha.
Ni mpango mkakati uliotengenezawa ila kuharibu mafanikio ya Simba yaonekane ni ya bandia.
Niliwahi kusema na ninarudia Yanga kwa kuzusha jambo lao na kulitengenezea propiganda na wakalishikia bango wamewaacha mbali mno mashabiki wa Simba.
Yanga wana uwezo mkubwa mno wa kuugeuza uongo ukafanana na ukweli.
Wana uwezo wa kuunda kitengo maalum cha propaganda na wakatengeneza njia yao ya kuzusha jambo na wakalisimamia ilimradi wafanikishe lengo lao.
Isivyo bahati mashabiki wa Simba wao hutembea kwenye fact na hoja zenye mashiko na ni wepesi kudharau uzushi na kuachana nao. Hii hupelekea kuonekana wanyonge kwenye mambo ya kuzusha.
Yanga wanayafanya haya kwa manufaa yafutayo.
1. Kuwatafutia mashabiki wao furaha ya bandia.
2. Kuondoa uhalisia wa ubora wa Simba ili ionekane ni timu ya kawaida kama ilivyo yao.
3. Wanajua kelele zao zitawaogopesha marefa na wakichezesha mpira wataogopa na kujaribu kujiondoa kwenye mtego kwamba wanaipendelea Simba. Na hili wanajua litawanufaisha wao.
4. Wanajaribu kuwaogopesha viongozi wote wa mpira waogipe na wafanye vitu kwa woga ili watumie mwanya huo kujinufaisha.
5. Wanajua Simba imewaacha mbali katika msimamo wa ligi hivyo wanatafuta huruma ya maamuzi ili waitumie huruma hiyo angalau kujaribu kujipatia chochote.

Simba inatakiwa ing'amue mbinu hizi na kuanza kuzifanyia kazi mapema. Huu ndio wakati wa wachezaji wa Simba kujituma na kujitolea kila walichonacho ili kuhakikisha wanawafumba midomo wale wote wasiowatakia mema.
Sasa hivi wakipata nafasi ya kumtandika mtu nyingi hakuna mzaha tena ni kuchapa tu kwa idadi kubwa ya magoli kadri itakavyowezekana. Tuwaache wao wachonge midomo sisi tuwajibu kwa vitendo.

Embu tujiulize ni kwa nini hizi lugha za kukatishana tamaa zimeibuka kipindi hiki?
Ni kwa nini kauli ya Manara kwamba Simba itachukua back to back Mara kumi inahojiwa sasa na si wakati alitamka? Ni kwa nini mapungufu ya waamuzi wa Tanzania yanaonekana tu kwa Simba? Na mapungufu hayo hayo hayaonekani wakucheza Yanga au timu nyingine? Sote tumeona muamuzi wa mechi ya Azam na Mtibwa alivyokuwa na mapungufu mengi tu. Ila hakuna anayetoka hadharani na kusema alihongwa tunaambiwa ni mapungufu na makosa ya kibinadamu ila mapungufu hayo hayo yakifanyika kwenye mechi ya Simba mwamuzi anakua amenunuliwa.
Embu tujiulize kosa la Lemere Moro kumrukia mtu kama Van Dame au Brucelee tens akiwa hana mpira na Kosa la Wawa kumchezea rafu Nchimbi lipi lilikuwa kosa kubwa zaidi? Hatukuona watu kulishika bango kosa la Moro na kutaka Tff uchukue hatua. Ila kosa la Wawa ni kama anatakiwa anyongwe au aende jela huu si uungwana.
Kama tumedhamiria kweli kupambana uwanjani kwa haki basi makosa yote yazungumzwe kwa mizania sawa
Nani hakuona Prison walivyonyongwa hasharani pale uwanja wa Uhuru kwa kunyimwa pernat ya wazi huku wao wakipigiwa penat yenye utata. Na ni alitoka hadharani na kupiga kelele kuwa refa kanunuliwa?

Ni Yanga hawa hawa msimu uliopita walipiga kelele mno wakidai Simba inapendelewa kwa kuachwa nyuma kwa viporo ili iwe bingwa. Leo wao ndio wana viporo na wanalalamika pia

YANGA ACHENI KUJIFANYA KAMA WATOTO YATIMA AMBAO HATA MFANYIWE JEMA LIPI MTASINGIZIA MNAONEWA.

NA MBINU ZENU CHAFU ZA KUTAKA KUPATA HURUMA YA MAAMUZI TUMEZISHTUKIA NA SASA INATUFANYA TUONGEZE DOZI ILI KUWAFUMBA MIDOMO KABISA.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…