Mo anajenga klabu, Manji anatafuta sifa na manufaa

Mambo ya kawaida kwa nchi gani.. acha kupotosha
Sio kila kitu lzm uige nitajie muungano wa Tanzania km Kuna sehem duniani Kuna muungano km huu lkn mpk leo tunaendelea na muungano wetu acha kukariri.
 
Yanga wasipokuwa makini hawatapata hata ndururu kwenye 'mkodisho ', itakuwa kama wawekezaji wa kwenye sekta ya madini, wanatangaza hasara kila mwaka ili kukwepa kodi lkn wawekezaji wanauza makampuni hayo kwa pesa ndefu.

Vv
 
Sio kila kitu lzm uige nitajie muungano wa Tanzania km Kuna sehem duniani Kuna muungano km huu lkn mpk leo tunaendelea na muungano wetu acha kukariri.
Dah.. siumesema nchi zingine ni kawaida, nikakuomba nitajie sasa kosa liko wapi.
 
Unabisha ili mradi ubishe au unabisha ukijua unacho bishania? siku shangai ni wewe tena ligi na ianze.
Ubishi uko wapi mkuu.. weka DATA kuwa nchi fulani na timu fulani ilikodishwa ili tufunge ukurasa
 
tunamkubali hivyo hivyo mdau.
 
Attachments

  • 1470758470140.jpg
    6.3 KB · Views: 21
Unatumia vigezo gani kusema long term ni best option kuliko short term ?
I hope labda unajua content ya hiyo mikataba ya Manji na MO otherwise hakuna logic ya unachosema.

Mkuu, Manji kama anataka timu anunue fungu lake, hakuna mambo ya kukodi timu.
 
Wewe ipua.
Mbona unakimbia kivuli chako.. ulidai kuwa kukodisha timu kwa waliotutangulia ni jambo la kawaida.. tukakuomba data bado hujatoa, sasa kwanini unasema niipue mimi ilhali ww ulisema mambo ya kawaida

Rejea comment yako ya mwanzo
 
Ni kawaida sana tu na nina rejea kusema hivyo kama ni Data endelea kusubiri,Wengine ni waelewa nakuona wewe ndio unaye omba usivute wingi? Sasa siumeona vime chemka ndio ipua sasa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…