Mo anajenga klabu, Manji anatafuta sifa na manufaa

BTW mi kama shabiki faida pekee nayoipata yanga ni ushindi kwani shabiki wa azam ananufaika nini na ile timu zaidi ya furaha ya ushindi walikuwepo waswahili pale na hawakufanya vyovyote binafsi hata nikisikia yanga inauzwa as long as anayenunua atafanya timu ishinde faida yangu ni ushindi na furaha basiiiiiiiii
 
Ebana mshkaji akimaliza mkataba wake na me nataka kwa 2yrz...LOOOoooL
 
Naiona yanga ikishushwa daraja na fifa...walizoea kuinyea tff safari hii watanyooka.
 
Ebana mshkaji akimaliza mkataba wake na me nataka kwa 2yrz...LOOOoooL
Kweli kabisa mkuu. Siku hz yanga ni kama changu...hela zako tu unapata mzigo kàma kawa.
 
kama unafikiri kuendesha simba au yanga ni rahisi chukua kwa mwezi mmoja kama hutaomba misaada
 
Dawa ni kuzifanya ziwe kampuni ila wanachama watakubali? Hapo unaweza kuona mabadiliko ya ukweli
 
Mimi pia mkuu,jamaa namkubali sana.
Hizi propaganda wanazoeneza Simba wanataka kutuletea mtafaruku tufulie kama wao.
Wanayanga tufanye yetu,tokea lini Simba wakaitakia mema Yanga?
Manji ni Yanga
Yanga ni Manji
Period
Wewe mkuu acha MANENO MBOFUMBOFU. Manji ni CCM....sio Yanga....yupo pale yanga kimaslahi zaidi.
 
Mimi pia mkuu,jamaa namkubali sana.
Hizi propaganda wanazoeneza Simba wanataka kutuletea mtafaruku tufulie kama wao.
Wanayanga tufanye yetu,tokea lini Simba wakaitakia mema Yanga?
Manji ni Yanga
Yanga ni Manji
Period
Wewe mkuu acha MANENO MBOFUMBOFU. Manji ni CCM....sio Yanga....yupo pale yanga kimaslahi zaidi.
 
Wewe mkuu acha MANENO MBOFUMBOFU. Manji ni CCM....sio Yanga....yupo pale yanga kimaslahi zaidi.
Acha kuendekeza siasa mkuu.
UCCM wa Manji haunihusu,naangalia mazuri yake kwa Yanga...period.
#GoManji [emoji123]
 


Nadhani wewe ndo mgeni katika soka, Mo ameweka dau lake mezani mda mrefu kama kuna mwingine mwenye nia ya ushindani anaweza kutokea na wakati akiyafanya hayo hana nafasi yeyote ya maamuzi ndani ya timu. Manji aliitisha mkutano wa dharura na agenda ikiwa siri kwenye mkutano ndo anawambiwa wanachama kua anataka kukodisha timu na ndani ya mda huo huo maamuzi yanafanyika, wakati huo huo haijawai tokea duniani kusikia timu imekodishwa na hakutoa mda wa kutosha wa wanachama kutafakari wazo lake wakati ombi la Mo mpaka sasa hivi linajadiliwa.
 
Hii inatokea bongo tu....eti timu INAKODISHWA kama nyumba...haya ni maajabu ya Musa.
 
Mbona umeandika kimahaba saana kijana.... Inamaana unataka kusema Mo hataki faida yoyote msimbazi? Acha upunguani ww
 
Pia inashangaza et shabiki wa mkia kumjadili Yanga eti anakosea kumpa timu manji haaah kufweni mikia nyie
 
Pia inashangaza et shabiki wa mkia kumjadili Yanga eti anakosea kumpa timu manji haaah kufweni mikia nyie
Simba waliamini kuwa wakiwa na MO kama 51% owner wataizidi kete Yanga ya wanachama. Walipoona Manji kakodishiwa kwa 10 years roho zimewauma sana kwani dili lao halitakuwa na impact yoyote kwa timu ya wananchi.

Nionanvyo mimi Yanga iko safe zaidi kwani mali za klabu zinabaki mikononi mwa klabu, kinachokodishwa ni timu na logo pekee, katika kipindi hiki Klabu inaweza kuanzisha timu nyingine hata kwa jina la Young Africans SC Jr na kuipandisha hadi ligi kuu na endapo kutakuwa na mtu mwingine anaihitaji atakodishiwa pia na klabu itaendelea kuanzisha timu nyingine siku hadi siku huku tukiendelea kunyanyua kwapa kwa ushindi wa timu zetu.

Kwa upande wa Simba, MO akichukua hisa 51% then 49% zitamilikiwa na individuals, MO na wenzake wana uhuru wa kuuza hisa zao kwa mtu yeyote mwenye pesa hata kama ni Makoye Matale wa Yanga. Mali zote za Simba ziko included kwenye hizo hisa hivyo kampuni ikifilisika hatutakuwa na Simba tena labda ianzishwe upya. Endapo kuna hasara itatokea, basi hasara hiyo itakuwa shared among shareholders kwa kiwango cha hisa zao.

Kwa upande wa Yanga, baada ya miaka 10 timu na logo zinarudi mikononi mwa klabu na safari itaendelea. Katika kipindi hiki cha miaka 10 Klabu ya Yanga ifanye utambuzi wa mashabiki wake wote nchi nzima kwa utaratibu watakaouweka. Lengo la kuwatambua ni kuwarasmisha na kuwafanya kuwa wanachama. Endapo idadi ya mashabiki ikifikia 10,000,000 tu kati ya 50,000,000 ya Watanzania wote na kila mmoja akachangia TZS 5,000 tu kwa mwaka, Klabu itakuwa na uwezo wa kujipatia TZS 50bn/= kwa mwaka sawa na TZS 500bn/= kwa miaka 10 ambazo zinaweza kufanya mambo makubwa ndani ya klabu bila hata ya kumtegemea mtu yeyote.

MO na Manji wote ni wale wale tu tofauti hapa ni kila mmoja na approach yake. Kwa hali ilivyo kwa sasa uendeshaji wa vilabu kwa mfumo uliorithiwa tangu zamani umefikia kikomo. Tupende tusipende hawa jamaa ni lazima tuwakabidhi hivi vilabu, tujipange upya.
 
Nini kukodishwa huko ng'ambo team zinauzwa na kumilikiwa na mtu binafsi kwa kipindi flani den anauza tena lakini ndizo team tunazozipenda na kuzishabikia Ila apa kwetu tunapinga kwakweli wa TZ bado sana katika fikra chanya.
 
Manji anaifaidi sana yanga kuliko yanga inavyomfaidi...ni sawa na KIROBOTO anavyofaidi kunyonya damu ya mnyama.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…