MO analipa kutangaza bidhaa zake Simba?

Jbst

JF-Expert Member
Joined
Nov 29, 2020
Posts
1,971
Reaction score
4,085
Wana simba wao wameamua kunyamaza na kuto kuhoji chochte atakachokifanya tajiri. Wao wana amini tatizo la simba ni kina mangungu.

Simba wamezindua jezi za kimataifa lkn jezi hizo zina matangazo ya Mo, mfano jezi ina mo extra kifuani juu upande wa kulia na pia ina Mo extra kubwa sana kifuani hapo.

Hivi brand ya simba imekosa kabisa kampuni ambazo zingetoa pesa kujitangaza mpka jezi yote ibandikwe matangazo ya Mo?

Huyu muhindi mjanja sana na anaitumia zaid simba kuliko kile anachokitoa.
 
Sisi wanasimba fuaraha yetu ni ushindi pekee mengine hayatuhusu
 
Kwani gharama za uendeshaji wa timu plus usajili anatoa nani? Yaani mnataka kula bila kuliwa?! Nyie mngeweza?
 
Kwani gharama za uendeshaji wa timu plus usajili anatoa nani? Yaani mnataka kula bila kuliwa?! Nyie mngeweza?
Faida ya hayo matangazo yanaizidi hata hiyo hela ya uwekezaji, anapata faida nyingi, kama anaendesha kwa hasara mbona hataki kuachia hapo,hadi kaacha siasa na ubunge maana Simba kuna faida

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Waulizwe machawa

Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app
 
Faida ya hayo matangazo yanaizidi hata hiyo hela ya uwekezaji, anapata faida nyingi, kama anaendesha kwa hasara mbona hataki kuachia hapo,hadi kaacha siasa na ubunge maana Simba kuna faida

Sent using Jamii Forums mobile app
Mbet walilipa mabilioni kuwa wadhamini wakuu halafu muhindi mmoja janjajanja anajaza matangazo
 
Shabiki wa Simba anachotaka ni ushindi hajali mengine.

Ikitokea timu ipo kiutopolotopolo haishindi anaachana nayo anaendelea na mambo mengine uwanjani wanaenda Mo na babra mpaka wahusika watakapojielewa au kuiachia timu.
 
Magungu kuna kitu anajua,sidhani kama analipia matangazo,ndo maana mashabiki wanaandamana kudeal na Magungu,Hayo majibu yalitakiwa yatoke kwa Magungu ila ndo hivo wanakula pamoja

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ingekuta mm mo nabandika kila Kona had kwapani

Nitoe pesa za mabilion.alfu nizijitangaze
 
Hivi wewe Mtoto anapowaringishia watu Wewe ni Baba yake ...Unamlipa?
 
Kwani gharama za uendeshaji wa timu plus usajili anatoa nani? Yaani mnataka kula bila kuliwa?! Nyie mngeweza?
Kwahyo simba haiingizi chochte? Acha kuwa mjinga. Kwahyo anatangaza bure?

Nn maana ya uwekezaji wake sasa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…