Jbst
JF-Expert Member
- Nov 29, 2020
- 1,971
- 4,085
Wana simba wao wameamua kunyamaza na kuto kuhoji chochte atakachokifanya tajiri. Wao wana amini tatizo la simba ni kina mangungu.
Simba wamezindua jezi za kimataifa lkn jezi hizo zina matangazo ya Mo, mfano jezi ina mo extra kifuani juu upande wa kulia na pia ina Mo extra kubwa sana kifuani hapo.
Hivi brand ya simba imekosa kabisa kampuni ambazo zingetoa pesa kujitangaza mpka jezi yote ibandikwe matangazo ya Mo?
Huyu muhindi mjanja sana na anaitumia zaid simba kuliko kile anachokitoa.