Mwenye hisa nyingi ndo boss inabid uelewe.Stop acting as if unauelewa mkubwa wakati unaonesha jinsi gani ulikimbia shule.Then mfano wako wa Chelsea nahisi hata huelew ulichoandika unaleta mambo ambayo hayana uhusiano na hii issue ya kuvunja mkataba.Unajua Chelsea Roman Abramovich n Yokohama nani ni nani pale? Shirikisha ubongo wako.
Sema wewe unachokijua watu dizaini yako huwa nawapuuzia tu. Wapi Simba n Mo wamevunja mkataba n lini Mo alikuwa mdhamini wa klabu?Mwenye hisa nyingi ndo boss inabid uelewe.Stop acting as if unauelewa mkubwa wakati unaonesha jinsi gani ulikimbia shule.Then mfano wako wa Chelsea nahisi hata huelew ulichoandika unaleta mambo ambayo hayana uhusiano na hii issue ya kuvunja mkataba.
Abubakar Mwilima, Mikidad Kassanda, Alfred Sanga, Hassan Hajji, Joakim Kimwaga, Majjid Seif, Ahmed al Hadji, Omar Kichwabutwa, Saleh Ruwhy. Shiraz Sharrif, Kitwna Kondo,Mohamed Virani, Issa Makongolo, nkNgozoma matunda
Amir ally bamchawi
Priva mtema
Jimmy David ngonya
Abas tarimba
George castro mpondela
Tabu mangara
Jabir ally shikamkono
Hawa wazee waliziweka penye ramani timu zetu.
Duh! Mohamed viran (babu )hizo enzi za babay soap wachache watakumbuka kiukweli wazee wetu hao walikuwa ni wazalendo wa kweli.Abubakar Mwilima, Mikidad Kassanda, Alfred Sanga, Hassan Hajji, Joakim Kimwaga, Majjid Seif, Ahmed al Hadji, Omar Kichwabutwa, Saleh Ruwhy. Shiraz Sharrif, Kitwna Kondo,Mohamed Virani, Issa Makongolo, nk
Shiraz Sharrif na Mohammed Virani R.I.P ni wafadhiri wa yanga tangu kitambo na upande Simba tulikuwa naye mzee Saleh Ruweh wa Salama TravelDuh! Mohamed viran (babu )hizo enzi za babay soap wachache watakumbuka kiukweli wazee wetu hao walikuwa ni wazalendo wa kweli.