MO anataka Simba imlipe Bilioni 1.4

MO anataka Simba imlipe Bilioni 1.4

Alipwe tu. Ni ujinga la MO Dewji hawajamaliza wanakimbilia lingine
 
CC Gentomycine hebu njoo utueleze kiundani kuhusi hii issue ya MO na Mnyama!
 
wahindi bhn, naona sasa dili za sukari zimefeli kakomaa na simba😀😀😀
Sio wahindi bana wala dili za sukari.

Siku zote huwa nasema, SIMBA NI TIMU YA HOVYO, siku zote Simba ni timu ya kurupu kurupu bin kurupuka.

Simba hawa, hawa Simba Koko, wana mkataba na Mohammed Enterprises wa udhamini. Lakini management ya Simba kwa jinsi ilivyo hovyo hovyo, imeshajitoa fahamu na kukubali udhamini wa Sport Pesa. Huu sio umalaya?

Kwa tunaowajua Simba, migogoro ya kisheria ni sehemu ya maisha yao na mara nyingi huangukia pua.
Twite chali
Yondani chali
Ngasa chali na sasa ndio ugomvi na mume wao wa siku nyingi.

CCM ijifunze kwa Simba. Once ukitafuna rambi rambi mikosi haikuachi
 
Hawa wahindi nao hawakomi tu kuhangaika na hivi vitimu vya uchochoroni...

Hizo pesa bora wangekuwa wanajenga mashule tu,mbona Gullen mashule yamemtoa,
hata akifa leo jina lake litadumu hata kwa miaka 200,

sasa hawa simba unawageuzia mgongo tu,tayari washakusahau wanadeal na mtu mwingine hata hawana habari kuwa wana mkataba
 
Ngozoma matunda
Amir ally bamchawi
Priva mtema
Jimmy David ngonya
Abas tarimba
George castro mpondela
Tabu mangara
Jabir ally shikamkono
Hawa wazee waliziweka penye ramani timu zetu.
 
Sio wahindi bana wala dili za sukari.

Siku zote huwa nasema, SIMBA NI TIMU YA HOVYO, siku zote Simba ni timu ya kurupu kurupu bin kurupuka.

Simba hawa, hawa Simba Koko, wana mkataba na Mohammed Enterprises wa udhamini. Lakini management ya Simba kwa jinsi ilivyo hovyo hovyo, imeshajitoa fahamu na kukubali udhamini wa Sport Pesa. Huu sio umalaya?

Kwa tunaowajua Simba, migogoro ya kisheria ni sehemu ya maisha yao na mara nyingi huangukia pua.
Twite chali
Yondani chali
Ngasa chali na sasa ndio ugomvi na mume wao wa siku nyingi.

CCM ijifunze kwa Simba. Once ukitafuna rambi rambi mikosi haikuachi
Mara Simba mara CCM, Punguza mbege mangi, hangover litakuua
 
Hajitambui huyu gabacholi. Aambiwe kiendacho kwa mganga huwa hakirudi. Kama yeye ana mapenzi makubwa na mnyama iweje tena adai pesa yake baada ya kutokea mdhamini mwingine wakati alitakiwa afurahie kwamba sasa kutakuwa na mtu wa kumsaidia kuidhamini timu.
Hapa si mambo ya mapenzi na timu mkuu,sasa hivi tunazungumza kwa mikataba.
 
Back
Top Bottom