OSOKONI
JF-Expert Member
- Oct 20, 2011
- 10,965
- 5,339
Kwani wewe hujawahi??Wawalipie kivipi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani wewe hujawahi??Wawalipie kivipi?
si ndio wadhamini wao, wawadhamini na hapoWawalipie kivipi?
Mchukuwe ubingwa? Tubutuuu, hizo ni ndiyo tena za mchana.Huyo gobacholi anakwepa kodi atulie tuchukue ubingwa kwanza
Wapuuzi hawa si juzi tu wamechukua 1 b, wao wanafikiri yy mjinga wanasaini tu makubaliano bila kusoma ngoja washikishwe adabu !!Ila Mo nae,
Yaani Mpira Wa bongo ni migogoro kila kukicha,ila Aveva ilipaswa amshirikishe Dewji katika makubaliano na Sportpesa
Huna akili wewe. Sasa unadhani hizo hela atapokea bila shinikizo la mahakama? Haya tuone sasa simba na MO nani kuku na nani yaiHalipwi hata kumi akitaka aende mahakamani hakuna aliyemwomba kujipendekeza kwake tuu huko
Siongei na vilaza wapumbavu na wenye vyeti feki kama wewe utaniambiaje sina akili unanijua mbuzi mkubwa weweHuna akili wewe. Sasa unadhani hizo hela atapokea bila shinikizo la mahakama? Haya tuone sasa simba na MO nani kuku na nani yai
Mkuu unaelewa impact ya 51% lakini?Kwani Mo ni mdhamini mmiliki au mwanachama wa kawaida tu? Mchakato wa umiliki wa klabu haujakamilika. Na hata ukikamilika huyo Mo atakuwa na 51% tu ya hisa sio kwamba atamiliki klabu moja kwa Moja.
Kwanini zifutwe??I wish I could be magufuli ningezifuta hizi yanga na simba kwenye ramani ya Tanzania ni upuuzi mtupu hata kuzishabikia
Muuchukulie wapi huo ubingwa??Huyo gobacholi anakwepa kodi atulie tuchukue ubingwa kwanza
Kwa sababu zinaua soka la bongoKwanini zifutwe??
Kila mtu aachwe apambane na hali yake.
Silly questionMuuchukulie wapi huo ubingwa??
Kuzifuta ni layman solution,Kwa sababu zinaua soka la bongo