MO anataka Simba imlipe Bilioni 1.4

MO anataka Simba imlipe Bilioni 1.4

Simba Sc has gone against the agreement they made with Mo Dewji,so they are supposed to refund Mo with billion 1.4 if they are no longer in need of having a contract with Dewji
 
Yaani Mpira Wa bongo ni migogoro kila kukicha,ila Aveva ilipaswa amshirikishe Dewji katika makubaliano na Sportpesa
 
Yaani Mpira Wa bongo ni migogoro kila kukicha,ila Aveva ilipaswa amshirikishe Dewji katika makubaliano na Sportpesa

Worst viongozi ever, kwanza itabidi hata kukagua vyeti vyao. Huyu kumbe ndo maana embassy hotel ilikufa, bora hata wale wazee waliokuwa hawajui kuandika !! Kamati tendaji imejaa mbatata ndo maana eti makamu ndo acting katibu uliwahi sikia wapi ??
 
Halipwi hata kumi akitaka aende mahakamani hakuna aliyemwomba kujipendekeza kwake tuu huko
Huna akili wewe. Sasa unadhani hizo hela atapokea bila shinikizo la mahakama? Haya tuone sasa simba na MO nani kuku na nani yai
 
Huna akili wewe. Sasa unadhani hizo hela atapokea bila shinikizo la mahakama? Haya tuone sasa simba na MO nani kuku na nani yai
Siongei na vilaza wapumbavu na wenye vyeti feki kama wewe utaniambiaje sina akili unanijua mbuzi mkubwa wewe
 
I wish I could be magufuli ningezifuta hizi yanga na simba kwenye ramani ya Tanzania ni upuuzi mtupu hata kuzishabikia
 
Kwani Mo ni mdhamini mmiliki au mwanachama wa kawaida tu? Mchakato wa umiliki wa klabu haujakamilika. Na hata ukikamilika huyo Mo atakuwa na 51% tu ya hisa sio kwamba atamiliki klabu moja kwa Moja.
Mkuu unaelewa impact ya 51% lakini?
 
Back
Top Bottom