Tukubali tu Mo anajua biashara na ndio maana ni tajiri, wewe huna hata genge wala tuta la mchicha hapo kwako unataka kubishana nae jitafakari.
Wakati Simba inawekwa sokoni ilikuwa ni timu kubwa kwa Tanzania ila sio Africa, timu iliwategemea akina Ndemla, Kichuya, Galas, Singano eti muifunge Al ahli, thubutu.
Hujawahi kuona mtu ananunua nyumba kuukuu anaikarabati inampa faida kuliko pesa aliyonunulia.
Au kununua basi bovu uklipimp likakulipa.
Mo ameipa thamani Simba ndio na kina GSM wakakurupuka usingizini
Bila Mo kuwekeza Simba Mbet na SportPesa wangetoa hela ndogo sana.
Hivi ligi imesimama mauzo ya bia kwenye baa yamepungua sana,watu wanaenda bar kumuona Sakho, Chama, boya Mugalu, babu Kagere na mgonjwa wa degedege Mayele
Ni sawa nakuchukua msichana kule sitimbi akiwa hajui kuvaa ukamleta mjini ukampiga sopsop akaja kuolewa na tajiri mmoja mkubwa.
Mnaoshangaa 26B za Mbet vs 20B za Mo hamjui biashara.
Kasomeni depreciation and appreciation
Kwa ufupi timu ilikuwa haina thamani ikitegemea hela za hisani za Hans Pope